Uzi kwa Mdada Mzuri Mwembamba

Uzi kwa Mdada Mzuri Mwembamba

Usikubari kuishi na Mwanamke mwenye sifa za kiume.

Tafuta Mwanamke mwenye sifa za kike kike hasa.....
Unaogopa kipondooo? Ukileta unaa unabondwa tyuuh hakuna namna. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
sema wanawake wa bongo dahh , kisa tu nilisema ntamlipa laki, hapo usiku ulie nae hata mia akupii
unatumikia mapenzi , ila kisa nimesema laki .. ningesema million sijui ingekuwaje
Unaogopa kipondooo? Ukileta unaa unabondwa tyuuh hakuna namna. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
we nawe unaonekana mkorofi kama dear x
 
sema wanawake wa bongo dahh , kisa tu nilisema ntamlipa laki, hapo usiku ulie nae hata mia akupii
unatumikia mapenzi , ila kisa nimesema laki .. ningesema million sijui ingekuwaje

we nawe unaonekana mkorofi kama dear x
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena mie nakubonda haswaah,
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena mie nakubonda haswaah,
nakulipa laki tatu ya kutokugombana na mimi .. na kuto ongea ongea napochelewa kurudi home usiku ... hapo imekaaje ?
 
nitamlipa laki moja kila mwisho wa mwezi ili mambo yake madogo madogo yasimsumbue kama kwenda saloon na mambo mengine hiyo ni tofauti na pesa ya kula na matumizi ya nyumbani
Mdogo wangu hii kitaalamu inaitwa invitation to treat, uwe makini ikitokea ukampata sidhan kama huo mshahara utampa zaidi ya mwezi mmoja😃😃
 
Back
Top Bottom