Uzi kwa Mdada Mzuri Mwembamba

Uzi kwa Mdada Mzuri Mwembamba

Shida YAKO ni kufuliwa nguo na kupikiwa my sweetheart nunua washing machine na kula kwa mama ntilie full stop
 
Mdogo wangu hii kitaalamu inaitwa invitation to treat, uwe makini ikitokea ukampata sidhan kama huo mshahara utampa zaidi ya mwezi mmoja😃😃
hahaha nimesha ghaili , sitaki tena nimeshampata modo wa kwenda
 
Unaogopa kipondooo? Ukileta unaa unabondwa tyuuh hakuna namna. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We cocastic, unafikiri Mimi ni wanaume wa Dar[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Acha ujinga mkuu kwanini usiseme unatafuta dada wa kazi malipo 50 plus kila kitu kwako.
Kuna videmu vikali miaka 18-19 warefu, maji ya kunde sura safi kabisa bila makeup na ujinga mwingine vitu natural kutoka shamba.

Baada ya hapo hayo mengine unamaliza juu kwa juu.
WTF am I thinking!
 
Kama unakuja hivi , alafu unatoka gaddamn it
 
Back
Top Bottom