baby success
JF-Expert Member
- Jul 14, 2022
- 548
- 1,799
Shida YAKO ni kufuliwa nguo na kupikiwa my sweetheart nunua washing machine na kula kwa mama ntilie full stop
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha nimesha ghaili , sitaki tena nimeshampata modo wa kwendaMdogo wangu hii kitaalamu inaitwa invitation to treat, uwe makini ikitokea ukampata sidhan kama huo mshahara utampa zaidi ya mwezi mmoja😃😃
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]nilishawahi date na mwanamke mnene , tukigombana ananipiga serios
We cocastic, unafikiri Mimi ni wanaume wa Dar[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Unaogopa kipondooo? Ukileta unaa unabondwa tyuuh hakuna namna. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama unakuja hivi , alafu unatoka gaddamn itAcha ujinga mkuu kwanini usiseme unatafuta dada wa kazi malipo 50 plus kila kitu kwako.
Kuna videmu vikali miaka 18-19 warefu, maji ya kunde sura safi kabisa bila makeup na ujinga mwingine vitu natural kutoka shamba.
Baada ya hapo hayo mengine unamaliza juu kwa juu.
WTF am I thinking!