Uzi kwa wale wenye roho ngumu tu..

Mimi naendelea kuwashauri wanaume wenzangu, kama ulimkuta mkeo na bikra Fanya hivyo mchunguze unavotaka lakini kama hukumkuta na hiyo bikra, tambua mke alitolewa bikra na kidume Fulani ndicho ambacho kimekutengenezea njia ya kupita so, usiwe na hasira na haina maana kumchunguza. Maana ulikubali kumuoa akiwa hivyo
 
Nlishawah fanyiwa hayo na mtu nilijua baada ya kuropoka kitu ambacho nilishawah kumuelezea mtu mmoja tu ambaye ni mzazi wangu...... nilichukia sababu ni privacy nikamuuliza tu for how long umenispy na kwanin !!!!
Cha ajabu kilichonishangaza pamoja ni kujua mauchafu yangu he was still there .... sa sijui alikuwa anasubiria makubwa zaidi !!!!‍♀️‍♀️‍♀️
 
Yote haya ya kazi gani!! Kujitafutia matatizo na kuamsha kisukari kilipolala
 
hakuna wa kutuletea mrejesho humu?
 
😀😀😀😀
 
Siwezi jaribu hii kitu.... Najifahamu[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji298] [emoji621] [emoji298] [emoji621] [emoji298] [emoji298]
Nitamuhack Demiss nione jinsi moyo wako ulivyooza...
 
Siwezi jaribu hii kitu.... Najifahamu[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji298] [emoji621] [emoji298] [emoji621] [emoji298] [emoji298]
Ni kweli hii njia ni ndogo kwako maana kila kitu unakiona kwenye chungu
 
Me sina mpenzi sasa labda nimjaribu mdingi. [emoji23] [emoji1] [emoji119] [emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…