Uzi kwa wale wenye roho ngumu tu..

Uzi kwa wale wenye roho ngumu tu..

Nshawahi kuifanya hii kitu tatzo hii apps unaitumia for 7day's free then utailipia na shida nyingine huwa inasababsha virus kwa wngi kwny cm na kupelekea cm kuwa nzto had ureboot cm na hili pia mlijue kwa wataohtaji.
Hili la virus inategemea na version uliyochukua, ni kweli kuwa baadhi ya version zinakuja na virus na kusababisha simu kuwa nzito
 
Angalizo:

Unapotengeneza hiyo account kwenye hiyo app, usijiroge ukatumia password ya email yako. Tengeneza mpya.

In fact, usitumie password ya email yako mahala pengine popote mtandaoni kwa usalama wako.

But be extra careful na watu kama hawa wa spying. Hawa ni watu waliovunja ethics zote za software development. You just don't know how bad they can get. Sasa jiroge uweke password ya email yako....
 
Sometimes love blinds us so much even when the signs are there we don't see them.The honored admission is the person you trust who works so much behind your back.
If the signs are not there it means two things.

You are struck by paranoia.

Or you are just nosey.
 
Mie sioni tu umuhimu
Kuna sehemu mtu anateleza naamini binadamu hatupo perfect,
He cheats yes! Anarudi tena na adabu zote ,ya nini nifukunyue!
Sina sababu ya kumfuatilia mtu unaweza kujikuta kwenye maumivu zaidi.
All the best matomaso wote.
Kuchunguzana sio sahihi.
 
what it takes to be a human is a whole lot of damn complications.. everybody has a damned side, ukitaka kujua za wenzako shart na ww wajue zako otherwise hautakua fair kwao na kwako mwenyewe..
 
A coward dies 1000 times before his real death...ningekuwa nimeoa ningepakua hiyo app
 
Bora umfuatilie ujue,wanawake wengine unaweza kuta anapanga na hilo libwana la kando wakutowe roho afu wachukue mali,uoga wako ndio kifo chako. Ukijua tabia ya mpenzi/mke wako inakupa confidence au alert. Co lazima umwache.
 
binadamu walivyo wabishi wapo ambao watataka kufanya huu mchezo wakati mahusiano yao yapo vizuri kabisa...

acha wajitafutie ugonjwa wa moyo, mm acha niwe mpenzi mtazamaji tu.

asante chief
Ha ha ha haa ila angalizo limetolewa
 
Back
Top Bottom