Uzi kwa wale wenye roho ngumu tu..

Sasa unamdukuaje mtu alafu anakushtukia???
 
Jamaa mzembe tu angekukazia yakua wewe mwenyewe ndio ulimwambia
 
Mara pap, meseji zinaingia: "asante baby, umenipa kitu sijawahi kupewa".

Unaanza kujiuliza, mke wangu kampa nini jamaa? Katika conversation zao unagundua mke anagawa jicho.

Hakika utavuna ulichopanda, sio kila kitu cha kufuatilia.
 
Sasa unamdukuaje mtu alafu anakushtukia???
Huja wahi ona... huja wahi sikia vidukuzi vime leta dhahamaa... simu za blackbery zilipigwa marufuku ktk baadhi ya nchi kwa kuwa zina tumika kudukua....

Tv za LG zilishutumiwa kuwa zina tumika kudukua pia... mzee hii ni technology... whatsapp ina shutumiwa na hasa bwana Zukenburg anapo kuwa ana onekana zaidi ktk baadhi ya kambi za kijeshi huko marekani...

Huku Telegram pia ya huko Urussi ikishutumiwa vile vile...
 
Hiyo truth spy niliwahi kuitumia,dah kama una moyo mdogo usifanye maana mauchafu yote yanakuwa wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…