nilitumiaga app moja miaka ya nyuma kidogo... kila baada ya dakika sms... sema una hitaji kuwa kama usalama wa taifa una mpeleleza mtu bila yeye kujua... una fanikiwa vizuri, juzi naulizwa ulinitrack ktk simu yangu nika mjibu ndio, akauliza kwa nini? nika mjibu nilipenda kufanya hivyo...
nami nika muuliza ulikuwa una fanya yasiyo sahihi mbona kama una wasiwasi, akajibu hapana nika mpa jibu moja kuhusiana na udukuzi, alikuwa mpole...
udukuzi ni mzuri kufahamu mwenzio ana endeleaje... maisha haya tunayo ishi ni halisi au tuna act, je nikiwekeza hapa nitalipa au nika wekeze kwa wazazi wangu... wewe ni kudukua na kutunza siri zako kama jasusi... ukiwa na moyo wa plastiki usijaribu...