Uzi kwa wale wenye roho ngumu tu..

Ndio maana kuna mtu kasema inafaa kwa wapenzi na sio kwa wanandoa. Ukiachika kwa mpenzi kwa sababu kama hiyo si inakuwa kakunyima mbaazi
Not all the time, it's not good losing or hurting a person. Unaweza ukaachwa na mpenzi tu kwa sababu ya usaliti na ikakucost dearly. There is no reward for cheating....
 
Not all the time, it's not good losing or hurting a person. Unaweza ukaachwa na mpenzi tu kwa sababu ya usaliti na ikakucost dearly. There is no reward for cheating....
You are not serious mdogo wangu..yani nimfume mtu ananisaliti na katika process za uchunguzi akanikamata akaniacha af nijute?
 
 
You are not serious mdogo wangu..yani nimfume mtu ananisaliti na katika process za uchunguzi akanikamata akaniacha af nijute?
Ooh basi sikukuelewa. .. Me nilisemea wewe ndo ufumwe afu uachwe. Khaa sasa mtu umfumanie afu ajifanye kukuacha, mbona hujapoteza chochote, akwendreee tu.
 
Duuuh! Jasho lanitoka mkuu wangu

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nimeshatoa tahadhari kwa wale watakaofanya kwa wapenz au wake zao maana najua madhara yake ni makubwa zaidi kuliko faida zake
Mbona hujatoa tahadhari kwa wanawale wamaotaka kuwadukua waume za0?
 

Wakat unaishika shika ulikuwa msichana,baada ya kuwa madam ukagundua u were wrong
 
Ndo unamuacha
 
ukute shemeji yetu kakufanyia hii kitu long time...
anakusikilizia tu.
wenzetu wana roho za simile kuliko sisi.
 
Ndo maana naipenda sana six batan yangu.....
 
binadamu walivyo wabishi wapo ambao watataka kufanya huu mchezo wakati mahusiano yao yapo vizuri kabisa...

acha wajitafutie ugonjwa wa moyo, mm acha niwe mpenzi mtazamaji tu.

asante chief
Mm sio fan wa hii kitu. Lakin muda mwingine inakubid pale unapoona mwenzio tabia zimeanza kuchange,kaanza dharau. Hapo lazima uingie kwenye uchunguz kujua kwann .. ni bora ukajua mapema kuliko kuishi kwenye uongo huku ukiwa na matumaini hewa kuwa mwenzako hata kuacha
 
kila siku hua nasema matatizo bhana hayatafutwi subiri yakufike tu yenyewe,
Simu yake sikagui itakua hiyo app ya kum spy.

Inipite mbali hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…