Uzi kwa wale wenye roho ngumu tu..

Uzi kwa wale wenye roho ngumu tu..

Ndio maana kuna mtu kasema inafaa kwa wapenzi na sio kwa wanandoa. Ukiachika kwa mpenzi kwa sababu kama hiyo si inakuwa kakunyima mbaazi
Not all the time, it's not good losing or hurting a person. Unaweza ukaachwa na mpenzi tu kwa sababu ya usaliti na ikakucost dearly. There is no reward for cheating....
 
Not all the time, it's not good losing or hurting a person. Unaweza ukaachwa na mpenzi tu kwa sababu ya usaliti na ikakucost dearly. There is no reward for cheating....
You are not serious mdogo wangu..yani nimfume mtu ananisaliti na katika process za uchunguzi akanikamata akaniacha af nijute?
 
Hehehehehe kazi kwenu watu wa kupenda fumanizi[/QUOhttps://www.facebook.com/samiwoodes/posts/2032236983458593TE]
Nilidukuwa simu ya mpenzi wangu, daah ! Niliyoyakuta huko yananiuma mpaka leo. Jamaa kaandika sms jinsi alivyokuwa anam....! Daaah !
Halafu demu nilidumu nae miaka mitano (baada yakudukuwa)
Nilikuja kumuacha bila kumwambia, kwa kuoa na picha ya harusi kutupia facebook. Nimeapa sidukui tena !
 
You are not serious mdogo wangu..yani nimfume mtu ananisaliti na katika process za uchunguzi akanikamata akaniacha af nijute?
Ooh basi sikukuelewa. .. Me nilisemea wewe ndo ufumwe afu uachwe. Khaa sasa mtu umfumanie afu ajifanye kukuacha, mbona hujapoteza chochote, akwendreee tu.
 
Hallow wanajf, Nimepata PM nyingi sana za wadau wa jf na zote zilitokana na comment yangu kweny uzi wa mwanajf mmoja aliyekuwa anamfatilia mpenz wake kwa njia ya whatsapp Web, wengi walitaka kufahamu zaidi njia nyingine. Nami nimeona kwa kuwa siwezi jibu kila anayekuja PM nikaona niweke hapa jamvini.

Kwanza kabsa itambulike kuwa kuchunguza simu ya mtu mwingine bila ridhaa yake ni kosa kisheria na kuingilia uhuru wa mtu kwa sababu kila mtu ana uhuru wa kuwa na privacy zake.
Njia hizi za kutrack simu hutumika zaidi kufuatilia mtoto mdogo ambaye yupo chini usimamizi wako zaidi ya hapo
Do it for your own risk.

Mahitaji ya jumla
Lazima unayetaka kumtrack awe na simu janja hapa naamanisha Android,
Hakikisha kwenye simu ya mlengwa umeenable unknown sources ili kuinstall apps nje ya Google play. Hakikisha simu ya mlengwa ina connection ya Internet wakati unafany installation.
Hakikisha unaficha App.
(1)fungua browser yoyote kisha nenda Google search andika neno The truth spy apk kisha click search itafunguka.

(2)zitatokea nyingi sana angalia iliyoandikwa the truth spy installation chini yake kuna neno ANDROID
limeanza click hiyo itafunguka.

(3)Ikifunguka utaona neno Download version 7.5) sio lazima ikuletee namba hiyo hapo inategemea na version uliyoikuta click neno hilo download.

(4)ukisha instll hiyo app utafungua hiyo app, ukifungua utaona neno Next click hapo utaona Register new account.

(5 Baada ya hapo utaona Agree kubali hapo kisha itafunguka utaona sehemù email, hapo weka email yako wew na si yake kisha weka passrd kisha confirm passrd zako.


Ukimaliza hapo next itafunguka Activate hiyo account,itakuja sehemu imeandikwa HIDE APP ICON fanya hivyo kuificha ili isionekane.

6)Ukimaliza hapo itafanya configuration baada ya hapo umemaliza na mrudishië simu yake kama ukiwa serious hata dakika tatu haiziishi..


7) kaa baada ya muda fulani ili aweze kuwasiliana na kuchati ujinga wake na mambo mengne, kisha ww kwa muda na kwa maamuzi yako katika simu yako andika Thetruthspy. com ikifunguka angalia juu upande wa kulia utaona neno sign in click hapo ingiza email yako na passrd ulizoziandika muda ule kule hapo itafunguka na angalia upande kushoto chini utaona SMS, call history na vingine vingi,hapo utakuwa unaamua mwenyew ni muda gani uangalie.
ANGALIZO
kama unampenda usifanye hii, ila kama unamtafutia sababu ya kumuacha ruksa kufanya.HAKUNA MKAMILIFU HAPA CHINI YA JUA. mlale unono
Duuuh! Jasho lanitoka mkuu wangu

Sent from my TECNO-C5 using JamiiForums mobile app
 
Mimi nimeshatoa tahadhari kwa wale watakaofanya kwa wapenz au wake zao maana najua madhara yake ni makubwa zaidi kuliko faida zake
Mbona hujatoa tahadhari kwa wanawale wamaotaka kuwadukua waume za0?
 
Eeenh sio mambo ya kuanza kuchunguzana jaman ili ugundue nini jaman

Mwanzo nilikua na tabia ya kushika simu ya mr kila nikishika lazima tu nikutane na majanga halaf kumuacha huwezi unabaki kulia lia unaombwa msamaha yanaisha

Nikakaa nikafkilia hivi nikiacha kutoshika simu yake mbona naishi kwa amani toka siku hiyo hata iite hapo hayupo akiishika atakutana na missed calls zake
IMG_-cl8ti5.jpg

Wakat unaishika shika ulikuwa msichana,baada ya kuwa madam ukagundua u were wrong
 
HII NI NZURI KTK KUMSPY MPENZI NA SYO MKE.

MPZ UNAMSPY ILI ANGALAU UMPATE WA NAFUU KITABIA KIDOGO.. LAKN MKAMILIFU HAPATKAN

NIKSHAOA, SIWEZ KUMSPY.. MANA UNAWEZA KUTA SMS ANAMSFIA MWANAUME MWENZIO KUWA ANAMKUNA VZURI KULIKO WEWE AU ANAMTATUA MARINDA.. C UNAWEZA KUJIUA KM YULE JAMAA WA MBEYA
Ndo unamuacha
 
ukute shemeji yetu kakufanyia hii kitu long time...
anakusikilizia tu.
wenzetu wana roho za simile kuliko sisi.
 
binadamu walivyo wabishi wapo ambao watataka kufanya huu mchezo wakati mahusiano yao yapo vizuri kabisa...

acha wajitafutie ugonjwa wa moyo, mm acha niwe mpenzi mtazamaji tu.

asante chief
Mm sio fan wa hii kitu. Lakin muda mwingine inakubid pale unapoona mwenzio tabia zimeanza kuchange,kaanza dharau. Hapo lazima uingie kwenye uchunguz kujua kwann .. ni bora ukajua mapema kuliko kuishi kwenye uongo huku ukiwa na matumaini hewa kuwa mwenzako hata kuacha
 
kila siku hua nasema matatizo bhana hayatafutwi subiri yakufike tu yenyewe,
Simu yake sikagui itakua hiyo app ya kum spy.

Inipite mbali hii.
 
Back
Top Bottom