Uzi kwa wale wenye roho ngumu tu..

Uzi kwa wale wenye roho ngumu tu..

Wqnaoogopa pointi yao ni unashika ukikutana na mabaya utafanyaje?

Sasa kweli uogope kuishika kisa utakutana na mabaya? Hivyo kwako ni aheri mabaya aendelee kuyafanya ila tu kisa hauyajui unajipa moyo hayapo ilihali yapo.

To me pia Hili hapana.
Hapo na me ndo huwa nashindwa kushangaa, kumbe kushika wanataka sana tu, ila wanaogopa watakayoyakuta humo. Siku mtu akiletewa gonjwa anaanza kulia as if alikuwa hajui kama mwenzie anachepuka, akapretend haoni. Effects za mtu kuchepuka zipo tu, sanasana una postpone tu siku ya kupatwa kwako. Teh ndo na kale kaujinga kengine "me achepuke tu ila aniheshimu" heshima whaaaaat? Kengine eti "anampenda sana mkewe, kuchepuka ni tamaa tu", mke unakuta kapaukaa na meno yamekuwa ya kijani kisa kushindia mboga za majani, huku mume upendo, muda wake na mali zote anainvest kwa mchepuko afu useme unapendwa? mmmh shindwaaaaa upendo version mpya. Too sad tunavyohalalisha uasherati. ....
 
[emoji1] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
Kushika simu ya mpenzi wako sio suala la kuogopa hata kidogo.

Wqnaoogopa pointi yao ni unashika ukikutana na mabaya utafanyaje?

Sasa kweli uogope kuishika kisa utakutana na mabaya? Hivyo kwako ni aheri mabaya aendelee kuyafanya ila tu kisa hauyajui unajipa moyo hayapo ilihali yapo.

To me pia Hili hapana.

Nitashika simu pale itakaponibidi kuishika na nikigundua nyendo zake zimebadilika nitaichnguza.

Mahusiano yana mengi sio lazima kucheat... kuna kumsomesha unataka kuhakiki kweli anafika chuo! Je matumizi ya pesa anayatumiaje? n.k
sio kuogopa chief, ni kupotezea tu.
na kutokushika haimaanishi simuamini mpenzi wangu au nahisi atakua ana-cheat No....ni kwamba yy mwanadamu bwana anatongozwa, anatamani na mengine mengi kama mm ninavyotamani lkn upendo upo pale pale,

kushika simu mtu unashika pale inapobidi lkn sio mtu kaingia ndani kaacha simu kdgo tu unairukia kuanza kuifukunyua kutaka kukuta usaliti...ni ujinga.
 
na kama umenielewa mwenyewe siafiki kuikalia daily akitoka tu ukaichukue utizame.

Ila kushika simu ya mpenzi wako sioni haja ya kuogopa. What for?

Kutongozwa kupo na najua anatongozwa ukishajua hili halikuumizi kichwa. Kwani haujawahi kutembea viwanjani na my your wife ukamwacha kidogo ukaja kukuta anakitiwa? Utapigana au utajificha amalize kukataa au kutipiwa kwa box ndiyo ujitokeze?

Na mke/mpenzi ukiona mienendo yake imebadilika au ukihisi chunguza kama anacheat ulijue mapema ulitolee maamuzi.
 
Presha za kazi gani??
Mi hata simu yake sijawahi gusa,cha kuuana bado tungali vijana ni nini lakin?[emoji3]maisha matamu haya
 
Nitafanya hivi kwa maslahi ya afya yangu na maslahi mapana ya familia.

Kujua tabia za mtu si ili muachane ila ujue jinsi ya kuishi naye.
Kweli kabsa mkuu, mm pia huwa nashauri hivi maana kwa sasa magonjwa ya zinaa yanaenea kwa kasi sanà tena yanaenea zaidi kwa watu walioko kweny ndoa, na sabab kubwa ni usaliti katika mahusiano yao
 
na kama umenielewa mwenyewe siafiki kuikalia daily akitoka tu ukaichukue utizame.

Ila kushika simu ya mpenzi wako sioni haja ya kuogopa. What for?

Kutongozwa kupo na najua anatongozwa ukishajua hili halikuumizi kichwa. Kwani haujawahi kutembea viwanjani na my your wife ukamwacha kidogo ukaja kukuta anakitiwa? Utapigana au utajificha amalize kukataa au kutipiwa kwa box ndiyo ujitokeze?

Na mke/mpenzi ukiona mienendo yake imebadilika au ukihisi chunguza kama anacheat ulijue mapema ulitolee maamuzi.
tatizo ss hizi ndoa zetu za kikristo mzee, ukishaingia kutoka ngumuu ss si bora tu uwe mpole au mkanyane yaishe...sometimes the less you know the better chief.
 
Kweli kabsa mkuu, mm pia huwa nashauri hivi maana kwa sasa magonjwa ya zinaa yanaenea kwa kasi sanà tena yanaenea zaidi kwa watu walioko kweny ndoa, na sabab kubwa ni usaliti katika mahusiano yao
Ni kweli mkuu, unaweza kujitoa sadaka ww binafsi kwa upofu wa mapenzi ukaacha kufwatilia ila tatizo ni pale utakapoletewa maradhi utawaachaje watoto wako na hali hii ya maisha? Ndoto zako atazitimiza nani?
 
Mm wala silioni hili km linahitaji roho ngumu,mm nadukua na nikikuta mambo ya hovyo yatanipa kumjua niishiye naye yupoje ili nijipange,ni km kupima HV vile,unanijua,na nikimkamata nna maamuzi ya kumuacha au kumsamehe,unajua ukimkamata na utafanya km ni kujuta ataacha ujinga maana bila kumkamata ataendelea kujifanya mjaaaanja
 
Kabsa mkuu naunga mkono hoja, wengi wetu tunaangamia kwa kufumbia macho matatizo ambayo yana madhara makubwa sana katika familia zetu na maisha yetu kwa ujumla
 
Mm wala silioni hili km linahitaji roho ngumu,mm nadukua na nikikuta mambo ya hovyo yatanipa kumjua niishiye naye yupoje ili nijipange,ni km kupima HV vile,unanijua,na nikimkamata nna maamuzi ya kumuacha au kumsamehe,unajua ukimkamata na utafanya km ni kujuta ataacha ujinga maana bila kumkamata ataendelea kujifanya mjaaaanja
Upo sahihi kabisa, ukijua na akafahamu kwamba umejua itampa hofu na pengine kumpelekea kupunguza au kuacha kabisa.
 
HII NI NZURI KTK KUMSPY MPENZI NA SYO MKE.

MPZ UNAMSPY ILI ANGALAU UMPATE WA NAFUU KITABIA KIDOGO.. LAKN MKAMILIFU HAPATKAN

NIKSHAOA, SIWEZ KUMSPY.. MANA UNAWEZA KUTA SMS ANAMSFIA MWANAUME MWENZIO KUWA ANAMKUNA VZURI KULIKO WEWE AU ANAMTATUA MARINDA.. C UNAWEZA KUJIUA KM YULE JAMAA WA MBEYA
 
Mimi huwa siafiki kuchunguza simu ya mtu muda wote bila sababu ila pia huwa sikubaliani na wanaoogopa kushika kwa kuhofia kuumia maana hawawezi kuwaacha.

Cc Heaven Sent
Ndio maana tunapendana kumbe tunafanana mambo mengi
 
Back
Top Bottom