Hapo na me ndo huwa nashindwa kushangaa, kumbe kushika wanataka sana tu, ila wanaogopa watakayoyakuta humo. Siku mtu akiletewa gonjwa anaanza kulia as if alikuwa hajui kama mwenzie anachepuka, akapretend haoni. Effects za mtu kuchepuka zipo tu, sanasana una postpone tu siku ya kupatwa kwako. Teh ndo na kale kaujinga kengine "me achepuke tu ila aniheshimu" heshima whaaaaat? Kengine eti "anampenda sana mkewe, kuchepuka ni tamaa tu", mke unakuta kapaukaa na meno yamekuwa ya kijani kisa kushindia mboga za majani, huku mume upendo, muda wake na mali zote anainvest kwa mchepuko afu useme unapendwa? mmmh shindwaaaaa upendo version mpya. Too sad tunavyohalalisha uasherati. ....