Kiokotee
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 1,675
- 2,211
Baada ya kuona hili janga limegusa watu wengi sana hata humu Jukwaani kuna mada nyingi za Shuhuda mbalimbali kuhusu hili lijamaa.
Uzoefu unonesha hakuna aliyefanikiwa kupambana na hili Lijamaa yaani Binaadamu tumelishindwa
Mimi kama muhanga mkubwa wa hili janga sina haja ya kutoa ushuhuda maana nafanana na wenzangu wote waliotoa shuhuda zao humu Ila Dhumuni la Uzi huu ni Kuangalia Njia mbadala kwa sababu maisha Lazima yaendelee kama ni pesa mi nasema sasa basi Sitatoa hata shilingi Kumi yangu Ila mimi binafsi nimefikiria Kuliacha tu liendelee kumla My wangu(Sijasusa) na mimi nitakula kwa wakati wangu hayo mambo mengine yote ya Kufikikirika Nayaacha kama Yalivyo Na siku Nikibahatika Kuongea nalo nitaliweka wazi liendelee tu kwa wakati wake Ila liniachie My wangu Nampenda sana!