Uzi maalum: Jini mahaba

Uzi maalum: Jini mahaba

Haya Majini Yanapenda Sana Pisi kali,Poa tu nimeridhia liwe mchepuko wa My wangu! Na simuachi..
Kwa hiyo hilo Jini kila siku linamfumua tu my wako! Halafu wakati huo wewe uko wapi? Eti unafikia hatua ya kukata kabisa tamaa!

Kama umelishindwa kabisa, basi nipe hiyo Pisi kali niilinde. Maana hakuna namna.
 
Haitawezekana Nimeoa ndoa kanisani kabisa ni My wangu wa Maisha! Ndio maana siwezi kumuacha.
 
Back
Top Bottom