Uzi maalum kumhusu Mtumishi Moses Kulola,Nini unafahamu kuhusu yeye?

Uzi maalum kumhusu Mtumishi Moses Kulola,Nini unafahamu kuhusu yeye?

Mazima1

Senior Member
Joined
Dec 31, 2020
Posts
192
Reaction score
550
Habari wakuu nimeona post moja huko mtandaoni kumhusu nikashawishika kupata taarifa kumhusu huyu muhubiri/mchungaji aliyekuwa anaitwa Moses Kulola,

Nasikia juu juu tu kwamba ni mchungaji ambaye alifanya mambo makubwa kipindi hicho,

Kwa wewe ambaye ulikuwepo kipindi hicho ni nini uliwahi kusikia au kushuhudia kuhusu yeye?
Shukhrani🙏
 
Back
Top Bottom