Uzi maalum kuwakumbuka Madaktari mbalimbali waliotusaidia tulipokuwa na changamoto za kiafya

Uzi maalum kuwakumbuka Madaktari mbalimbali waliotusaidia tulipokuwa na changamoto za kiafya

Mungu atuwezeshe kuzifuata nyayo zao kwenye yote yaliyo mema.
 
Miaka imepita mingi more than 15 pale Muhimbili manusula nikatwe mkono Ila kwa mchango wao walinitibu nikapona. Najiuliza kama ningekatwa mkono ingekuwaje na haya mapambano ya kuuondoa umasikini.Popote walipo nawaombea.
 
Una bahati sana
Ďr. Julie Makani
Dr. Lisokotala
Dr. Gilbert Sanga
Dr. Ally Nah
Dr. Angela Mwakimonga
Dr. Cyprian Ellas Mayagi
Dr. David Isaya
Dr. Kache (Magu)
Dr. Masangu (Masanza Kona)
Gabriel Mwasunga
 
Dr. Prof Charles huyu mwamba amesaidia sana kina mama Mungu ampe maua yake. Alikuwa BMC naskia yupo Dom DCMC mzee shikamoo!
 
Back
Top Bottom