Uzi maalum kuwakumbuka Madaktari mbalimbali waliotusaidia tulipokuwa na changamoto za kiafya

Uzi maalum kuwakumbuka Madaktari mbalimbali waliotusaidia tulipokuwa na changamoto za kiafya

Morocco alikuwepo daktari bingwa wa magonjwa ya watoto, Dr. Massawe.
 
Dr. Tulizo Shem Sanga, JKCI bingwa kabisa wa magonjwa ya moyo na anatoa huduma kirafiki sana kwa mgonjwa. Chukua maua yako daktari, amemsaidia sana mama yangu bila yeye sijui kama mama yangu angekuwa hai leo hii.
Dr. Abbas bingwa wa vidonda vya sukari, amemsaidia sana pia mama yangu, bilq yeye mama angeshakatwa mguu. Heshima kwake daktari
 
Dr. Andrew Maseta alinifanyia oparesheni Bochi
 
Dr. Majinge
Dr. Batanyita
Dr. Shemu
Dr. Colman
Dr. Jessie

Hao wachache kwa leo, hats off to them!!
 
Ďr. Julie Makani
Dr. Lisokotala
Dr. Gilbert Sanga
Dr. Ally Nah
Dr. Angela Mwakimonga
Dr. Cyprian Ellas Mayagi
Dr. David Isaya
Dr. Kache (Magu)
Dr. Masangu (Masanza Kona)
Dr David Isaya classmate wangu O level, tupo nae group moja bado anajitoa sana
 
Back
Top Bottom