KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Una bahati sanaMiaka imepita mingi more than 15 pale Muhimbili manusula nikatwe mkono Ila kwa mchango wao walinitibu nikapona. Najiuliza kama ningekatwa mkono ingekuwaje na haya mapambano ya kuuondoa umasikini.Popote walipo nawaombea.
Gabriel MwasungaĎr. Julie Makani
Dr. Lisokotala
Dr. Gilbert Sanga
Dr. Ally Nah
Dr. Angela Mwakimonga
Dr. Cyprian Ellas Mayagi
Dr. David Isaya
Dr. Kache (Magu)
Dr. Masangu (Masanza Kona)
Umenikumbusha Dr kacheĎr. Julie Makani
Dr. Lisokotala
Dr. Gilbert Sanga
Dr. Ally Nah
Dr. Angela Mwakimonga
Dr. Cyprian Ellas Mayagi
Dr. David Isaya
Dr. Kache (Magu)
Dr. Masangu (Masanza Kona)
Aisee, longtimeUmenikumbusha Dr kache
Pia Dr Mchele(magu)
Dr Mwaki (magu)
Dr Dr Mahuma(Bukumbi)
Daktar waninDk viky Mwaiseje.
Huyu Daktadi alikuwa akikuandikia Dawa lazima upone
Dr yongolo alikutibu nin mkuu namsikia sikia yongoloDr masesa
Dr Yongolo
Meno nakumbuka January 1990 kipindi Yuko mwanza ,baadaye akiwa upanga miaka ya 2015Dr yongolo alikutibu nin mkuu namsikia sikia yongolo
Alivuma sana enzi za SokoineDr Shaba,
Km humjui huyu mwamba basi tena.
Baadae tulikuwa tunakunywa nae bank club na maeneo ya sea view.Dr Shaba,
Km humjui huyu mwamba basi tena.
Heshima kwakeDr. Prof Charles huyu mwamba amesaidia sana kina mama Mungu ampe maua yake. Alikuwa BMC naskia yupo Dom DCMC mzee shikamoo!