Zekoddo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 1,886
- 4,606
Kama wewe ni Mtumishi wa Umma na Umeomba uhamisho kutoka Taasisi Moja na kwenda nyingine basi tukutane hapa kwa ajili ya kupeana updates, najua kuna watu maombi yao yamefika Utumishi siku na miezi mingi imepita bila majibu basi tuzidi kupeana infos hapa ili kama wewe mwenzetu umefanikiwa, haijalishi umesubiri kwa muda wa miezi mingapi hadi kupata kibali, basi itasaidie zaidi kuwatia moyo watu wengine na kuendelea kuvuta subira kusubiri vibali.
safetymaster
Liverpool VPN
Nevergive up
jiwe angavu
STUKA M1
Msafa
safetymaster
Liverpool VPN
Nevergive up
jiwe angavu
STUKA M1
Msafa