Ombi liko wapi?Mkuu Mimi Nina miezi 3 hata huko UTUMISHI haijafika 🤣
Mkuu tupo hapa kuzidi kutiana moyo na sio kukatishana tamaa ila kama we mwenyewe unaona huna Amani ya moyo kutokana na kuomba bila kupitia Vacancy ni bora ufute then uanze na vacancy maana Naamini ombi lako bado ni changa na Umeomba kupitia dirisha la 2026/2027,,, hivyo Bado muda tunao wa kutosha.Na pia ...
Huyu jamaa Elvis Legacy amenitia moyo, baada ya kutuma "Normal Transfer" direct bila kupitia/kuanza na "Vacancy Request"
Anasema, ye mwaka jana 2025_26 alituma hivi kama mimi (Bila ya kuanza na Vacancy Request) na alikuwa approved na kupokea barua yake ya uhamisho baada ya mwezi na nusu.
Tuendelee na maombi.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Mkuu tupo hapa kuzidi kutiana moyo na sio kukatishana tamaa ila kama we mwenyewe unaona huna Amani ya moyo kutokana na kuomba bila kupitia Vacancy ni bora ufute then uanze na vacancy maana Naamini ombi lako bado ni changa na Umeomba kupitia dirisha la 2026/2027,,, hivyo Bado muda tunao wa kutosha.
Naomba nikutumie ushahidi huu ambao kuna jamaa alijibiwa kutokana na kuanza ombi pasi na Vacancy. Naweka hapa ili u-gain chochote kuhusu ombi lakoView attachment 3634225
Lakini me nakutakia Kila la kheri mkuu katika ombi lako, Mungu akutangulie sana
Guys, hivi UTUMISHI hawatoi barua kidijitali kama wale wa AJIRA (PSRS) maana naona PSRS wakitangaza tu mkeka leo unakuta barua kwenye mfumo siku hiyohiyo na tarehe ya barua ni ya siku hiyohiyo na imesainiwa kidijitali (Digitally signature).
Hivyo naona kama Utumishi wangefanya hivi ingekuwa chap sana kwa issue ya vibali.
Mkuu tupo hapa kuzidi kutiana moyo na sio kukatishana tamaa ila kama we mwenyewe unaona huna Amani ya moyo kutokana na kuomba bila kupitia Vacancy ni bora ufute then uanze na vacancy maana Naamini ombi lako bado ni changa na Umeomba kupitia dirisha la 2026/2027,,, hivyo Bado muda tunao wa kutosha.
Naomba nikutumie ushahidi huu ambao kuna jamaa alijibiwa kutokana na kuanza ombi pasi na Vacancy. Naweka hapa ili u-gain chochote kuhusu ombi lakoView attachment 3634225
Lakini me nakutakia Kila la kheri mkuu katika ombi lako, Mungu akutangulie sana
Sawa mkuu.. ngoja tusubiriVibali vinatoka kidigitali wanakutumia via ESS na mkurugenzi wako pia wanamtumia na kule unakokwenda