Uzi maalum kwa ajili ya wazee: Wazee karibuni mtufunze vijana

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,465
Wazee wa humu jamvini kwanza shkamoni.

Mimi ni wa 30's.Huu ni uzi wenu karibuni mtufunze vijana wenu.

Mambo yote mtakayosema hapa yenye busara, kwetu sisi ni mali, maneno yenu hapa ya busara mtakuwa mmeweka kumbukumbu kubwa isiyofutika kwa watakaosoma hapa vizazi na vizazi nyie ni hazina kubwa kwetu.

Karibuni wazee wetu.
 
Wazee wa humu jamvini kwanza shkamoni. Mimi ni wa 30's.
Huu ni uzi wenu karibuni mtufunze vijana wenu
Mambo yote mtakayosema hapa yenye busara, kwetu sisi ni mali, nyie ni hazina kubwa kwetu
Karibuni wazee wangu
tatizo hamsikiii, tunajisumbua kusema, hamsikii katu! sana sana mtatutukana!
 
Mm ni kijana mwenye ideas za kizee eg nimepiga msuli hapa na tishwti la CCm je naruhusiwa kuja..?
 
Una miaka 30 alafu unajiita kijana??? Umri kama huo na bado hujajitambua yaani unatafuta ushauri?? Very pathetic being!!!

Ni wazi bado unakula kwa shikamoo na hujawai ata kulipa bill ata ya maji..idiot kabisa
Mkuu nina 30
Nina mke na watoto
Nina elimu ya degree
Nimejiajiri
Nina nyumba
Nina magari
Nina biashara
Nina shida na ushauri wa wazee mno wewe kama hutaki nenda kwenye uzi wa wazee wa kubet
 
Haya kijana ngoja ninuse ugoro wangu nipige chafya upate ushauri murua
 
Ngoja nivizie bibi mzuri anilee, grisi ishakua shida.

Jamani bibi wote mnakaribishwa pm kama ulimuona Defao na viuno vyake kwenye Family Kikuta basi hapa ni mara mia.

Mimi nina sura ya kiume Dr Remmy anangoja.

Mariamu alivyosifiwa na Remmy kwako itakua mara milioni, kila siku wimbo mpya kwa ajili yako, najua kupiga gita.

Grisi
 
Ooh, sawa kijana hebu sema unataka ushauri kuhusu kitugani hasa.

Ushauri wa kwanza,,
Ukiwaona wanafunzi njiani wakikuomba lifti usiwapite wape lifti!, sawa kijanaeee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…