Uzi maalum kwa ajili ya wazee: Wazee karibuni mtufunze vijana

Uzi maalum kwa ajili ya wazee: Wazee karibuni mtufunze vijana

Aidha kwa wavulana sasa msivae suruali mlegezo na pia zakubanaaa maana mnajitukanisha
Kwa wasichana Adabu na heshima iliyomwagika tafadhali muizoe japo itakuwa na mchanga , mnatamaa kubwa kubwa ya kusifiwa ,acheni kujichora kwa kuvaa nguo ambazo kimaadili ni za kuvaa chumbani na mwenzi wako , mnajidanganya mnapotaka ku look sex huku mnapita mkidhani ndiyo mvuto ,hakika huwa mnatazamwa upunguani wenu
Hamna UOGA hata chembe kabint ka miaka 19-30 ati kanajamiana na akina sisi wa miaka 50 na zaidi t[emoji28][emoji85] tamaa za kupata vitu ni sababu ya nyinyi kuwa hivyo
Muwaheshimu na muheshimiwe kwa matendo namuonekano wenu . Hebu niishie hapa
 
Wazee wengine ni mikoloni sana . Sasa kama hilo huyo mzee ulilofurai kumuonaaa!!!
Pale sasa mnapotuona wakoloni, na bahati mbaya hamkuwahi kuwaona hao wakoloni na kuanza kutudharau na kutukebehi kama mnavyojidhihirisha kwenye comedy nyiiingi bahati mbayanyinyi hujifanyia upuuzi wooote wanaigiza comedians ni mzee ni kama makapi Let tell siku moja kakijana kaliwapita watu na mbwembwe kibao kumbe kinahitaji msaada kagari kake kemezima na hawana salam wala,respect kwa cc wanavijiji si ikatakiwa spaner su komao la mwaka kumbe baba mwenye vifaa akapita pale akawasakilim wao kama kawaida wakachuna wakai wanatafakari pa kuomba msaada akapita mtu ana pikipiki na baba yake ndo fundi mwenye spaner na walimchunia salaam bahati mbaya msichana alikuwa anaumwa uchungu weeqeemsaada ni kwa yule mzee na kilichotokea utajua mwenyewe
 
Wazee wenyewe hawa wenye kuwaza katerero na supu ya pweza.
 
Mkuu nina 30
Nina mke na watoto
Nina elimu ya degree
Nimejiajiri
Nina nyumba
Nina magari
Nina biashara
Nina shida na ushauri wa wazee mno wewe kama hutaki nenda kwenye uzi wa wazee wa kubet
Hizo sifa ulizoandika hapo juu,kila mwana JF ndio sifa zake alizonazo humu mkuu.
 
Pale sasa mnapotuona wakoloni, na bahati mbaya hamkuwahi kuwaona hao wakoloni na kuanza kutudharau na kutukebehi kama mnavyojidhihirisha kwenye comedy nyiiingi bahati mbayanyinyi hujifanyia upuuzi wooote wanaigiza comedians ni mzee ni kama makapi Let tell siku moja kakijana kaliwapita watu na mbwembwe kibao kumbe kinahitaji msaada kagari kake kemezima na hawana salam wala,respect kwa cc wanavijiji si ikatakiwa spaner su komao la mwaka kumbe baba mwenye vifaa akapita pale akawasakilim wao kama kawaida wakachuna wakai wanatafakari pa kuomba msaada akapita mtu ana pikipiki na baba yake ndo fundi mwenye spaner na walimchunia salaam bahati mbaya msichana alikuwa anaumwa uchungu weeqeemsaada ni kwa yule mzee na kilichotokea utajua mwenyewe
Hizo ndo zinakuaga story za madingi wenye stress za maisha,kila mzee story yake ni hio hio ya kijana alipita watu bila kusalimia sijui nini,kwani nyie wazee wa zamani mlizaliwaga eneo moja hapa Tz mpk story zenu zifanane aisee.
 
Uzee ni kuanzia umri gani mkuu
 
Vijana ushauri wetu kwenu muanzishe viwanda, nyinyi ndiyo uti wa mgongo.
 
Hizo ndo zinakuaga story za madingi wenye stress za maisha,kila mzee story yake ni hio hio ya kijana alipita watu bila kusalimia sijui nini,kwani nyie wazee wa zamani mlizaliwaga eneo moja hapa Tz mpk story zenu zifanane aisee.
Na bahati mbaya na,madogo akili yenu ni ile,ile,mkiambiwa,ukweli mnaanza matusii je mtashaurika kweli hapo sasa
 
Una miaka 30 alafu unajiita kijana??? Umri kama huo na bado hujajitambua yaani unatafuta ushauri?? Very pathetic being!!!

Ni wazi bado unakula kwa shikamoo na hujawai ata kulipa bill ata ya maji..idiot kabisa
Anakula ugali wa kwenye pot[emoji23]
 
Vijana wangu wa kike naomba niwafundishe;
1.Acheni tabia ya 'kuombaomba hela' mnajishushia heshima
2.Acheni kuvaa mavazi ya kuonyesha maungo yenu
yule bibi kizee alitoa tamko juzi kuwa kuvaa nguo za uchi ndio asili ya mu Africa na akapigiwa mbinja mnooo na wapenda kuvaa uchi ..yaani wazee wenyew baadhi yenu sikuhiz ndio mmekuwa na Mawazo mgando kiasi Kile ..KWAUPANDE WAKO WEWE UNALIPI LA KUTUAMBIA KUTOKANA NA ILE KAULI ...maana vijana huwa tunaamini kuwa wazee ni makao ya busara
sass unapokutana na matamko kama Yale toka kwa wazee unajikuta hutamani hata kuzeeka
 
Wazee wa humu jamvini kwanza shkamoni.

Mimi ni wa 30's.Huu ni uzi wenu karibuni mtufunze vijana wenu.

Mambo yote mtakayosema hapa yenye busara, kwetu sisi ni mali, maneno yenu hapa ya busara mtakuwa mmeweka kumbukumbu kubwa isiyofutika kwa watakaosoma hapa vizazi na vizazi nyie ni hazina kubwa kwetu.

Karibuni wazee wetu.
Tuzungumze juu ya nini sasa? Ungekuwa na mada tofauti tofauti za kuchangia ingependeza zaidi kuliko kila MTU kuibuka na lake.
 
Back
Top Bottom