Tareeq
JF-Expert Member
- May 3, 2010
- 828
- 408
Aidha kwa wavulana sasa msivae suruali mlegezo na pia zakubanaaa maana mnajitukanisha
Kwa wasichana Adabu na heshima iliyomwagika tafadhali muizoe japo itakuwa na mchanga , mnatamaa kubwa kubwa ya kusifiwa ,acheni kujichora kwa kuvaa nguo ambazo kimaadili ni za kuvaa chumbani na mwenzi wako , mnajidanganya mnapotaka ku look sex huku mnapita mkidhani ndiyo mvuto ,hakika huwa mnatazamwa upunguani wenu
Hamna UOGA hata chembe kabint ka miaka 19-30 ati kanajamiana na akina sisi wa miaka 50 na zaidi t[emoji28][emoji85] tamaa za kupata vitu ni sababu ya nyinyi kuwa hivyo
Muwaheshimu na muheshimiwe kwa matendo namuonekano wenu . Hebu niishie hapa