Uzi maalum kwa ajili ya wazee: Wazee karibuni mtufunze vijana

Mkuu nina 30
Nina mke na watoto
Nina elimu ya degree
Nimejiajiri
Nina nyumba
Nina magari
Nina biashara
Nina shida na ushauri wa wazee mno wewe kama hutaki nenda kwenye uzi wa wazee wa kubet
Izo fairtale tu kwako..na zitabaki kuwa ivo!!!idiot
 
Vijana wangu wa kike naomba niwafundishe;
1.Acheni tabia ya 'kuombaomba hela' mnajishushia heshima
2.Acheni kuvaa mavazi ya kuonyesha maungo yenu
Donatila wewe ni kijana, sijui kama ni KE au ME, , mwandishi wa habari (nadhani), nilikuomba kesi fulani ya nadhani ya Lema ya high court ya dhamana....you reported that case. Hukunijibu. Ndiyo hayo dharau za vijana wa leo. Hamsikii, tutawashauri nini!🙁🙁🙁🙁🙁
 
Mimi kama mzee ...naomba vijana wa leo nyote mjitahid kuwapa muhogo wa changombe mabint wote mnaokutana nao...
 
Una miaka 30 alafu unajiita kijana??? Umri kama huo na bado hujajitambua yaani unatafuta ushauri?? Very pathetic being!!!

Ni wazi bado unakula kwa shikamoo na hujawai ata kulipa bill ata ya maji..idiot kabisa

Tangu utapeliwe kwenye Forex umekua mropokaaji sana wewe babu
 
Tukubaliane Kwanza maonyo toka kwetu wahenga sometimes ni mithili ya Shubili vijana mkotayari kumeza?
 
kinachoniboa ninapokaa Na wazee Ni pale wanapojikuta Wao waliishi maisha Mazur zaidi ya sasa.
Enz zao radio kwa m/kit wa kijiji,simu hakuna,mawasiliano kwa barua,posta inachikua miezi kufika. Lakin yote hayo uyaskia 'vijana wa sk hzi hamna kitu kabisa'. Bila kufikiria kuwa dunia inabadilika. Wazee noma
 
Hawa watu bwana waliienjoy sana aise mavazi , mziki wa ukweli, nidhamu, waliosoma walieshimika mno wazee
 
Wazee wazee wazeeeeeee
 
Nina waasa vijana. Usiku msilale na nguo.
2: Tafuteni vile vitanda vya spring mlalie.vinarutubisha ndoa ( hamtalala mbalimbali.
3: Acheni kuchonga vitanda vikubwa(6 by 6). Chongeni 2/3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…