Raia mdogo
JF-Expert Member
- Jan 5, 2018
- 1,387
- 1,518
Madam Cocochanel unakaribishwa huku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Izo fairtale tu kwako..na zitabaki kuwa ivo!!!idiotMkuu nina 30
Nina mke na watoto
Nina elimu ya degree
Nimejiajiri
Nina nyumba
Nina magari
Nina biashara
Nina shida na ushauri wa wazee mno wewe kama hutaki nenda kwenye uzi wa wazee wa kubet
Donatila wewe ni kijana, sijui kama ni KE au ME, , mwandishi wa habari (nadhani), nilikuomba kesi fulani ya nadhani ya Lema ya high court ya dhamana....you reported that case. Hukunijibu. Ndiyo hayo dharau za vijana wa leo. Hamsikii, tutawashauri nini!🙁🙁🙁🙁🙁Vijana wangu wa kike naomba niwafundishe;
1.Acheni tabia ya 'kuombaomba hela' mnajishushia heshima
2.Acheni kuvaa mavazi ya kuonyesha maungo yenu
Poa poa mkuu najua Deogratius Kisandu atakuwa na mengi ya kuchangia kwenye huu uziHuyu Akija Nitag Fasta
Una miaka 30 alafu unajiita kijana??? Umri kama huo na bado hujajitambua yaani unatafuta ushauri?? Very pathetic being!!!
Ni wazi bado unakula kwa shikamoo na hujawai ata kulipa bill ata ya maji..idiot kabisa
Tukubaliane Kwanza maonyo toka kwetu wahenga sometimes ni mithili ya Shubili vijana mkotayari kumeza?Wazee wa humu jamvini kwanza shkamoni.
Mimi ni wa 30's.Huu ni uzi wenu karibuni mtufunze vijana wenu.
Mambo yote mtakayosema hapa yenye busara, kwetu sisi ni mali, maneno yenu hapa ya busara mtakuwa mmeweka kumbukumbu kubwa isiyofutika kwa watakaosoma hapa vizazi na vizazi nyie ni hazina kubwa kwetu.
Karibuni wazee wetu.
Hawa watu bwana waliienjoy sana aise mavazi , mziki wa ukweli, nidhamu, waliosoma walieshimika mno wazeekinachoniboa ninapokaa Na wazee Ni pale wanapojikuta Wao waliishi maisha Mazur zaidi ya sasa.
Enz zao radio kwa m/kit wa kijiji,simu hakuna,mawasiliano kwa barua,posta inachikua miezi kufika. Lakin yote hayo uyaskia 'vijana wa sk hzi hamna kitu kabisa'. Bila kufikiria kuwa dunia inabadilika. Wazee noma
Ha haa haaa bora nimekuonaaaa......Kwa ajili ya kufanyaje labda
Mie mzima heri ya mwaka mpya sijachelewa lakini haahahaha. Uzi wa wahengaHa haa haaa bora nimekuonaaaa......
Heshima yako mkuu!
Wewe unazo?Izo fairtale tu kwako..na zitabaki kuwa ivo!!!idiot
Tajiri wa rangi?Asante mkuu nimekuja mzee mimi