Abbasfarudume
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,625
- 1,327
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mwingine atakuwa kajiandaa kabeba pistoSiku ya ndoa unaenda na kisu kidogo..
Akijipendekeza yyte mwenye pingamizi unalala naye mbele
hahaha hivi wanapataga usingizi kweli usiku wa kuamkia ndoa?.
Hivyo hivyo.Suuu
wacha wee na mikucha yake kama makataπππNoma sana alafu bi. Harusi awe mtoto mkali kama huyu, lazima Upagawe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji13] [emoji13]wacha wee na mikucha yake kama makataπππ
Mkuu nipo siondoki kwenda popote.Daah huyu jamaa kaleta uzi anasepa jf
Utachukua uamuzi gani kama wewe mkuu?Hahahaa yote kwa yote yatajulikana mwakani
Mimi sijawahi kushuhudia zaidi ya yule mzee aliyesema mimi nina kipingamizi..padri alivyomuuliza akasema Mimi kipingamizi changu ni nilikuwa nyuma sisikii vizuri nimekuja hapa mbele kusikia vizuri hahahaMBITIYAZA: na JOSEVEREST: amjawai shuhudia au kujionea vituko kama hivi wakuu huko Uswaz
[emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107] [emoji107]Siku ya ndoa unaenda na kisu kidogo..
Akijipendekeza yyte mwenye pingamizi unalala naye mbele
Umeshindwa kufanya maamuzi magumu bossMkuu nipo siondoki kwenda popote.