Uzi maalum kwa maharusi wapya wanaotaka kuoana

Uzi maalum kwa maharusi wapya wanaotaka kuoana

Mimi sijawahi kushuhudia zaidi ya yule mzee aliyesema mimi nina kipingamizi..padri alivyomuuliza akasema Mimi kipingamizi changu ni nilikuwa nyuma sisikii vizuri nimekuja hapa mbele kusikia vizuri hahaha
😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀
 
Juzi kat kulikuwa kuna harus tatu hapa kanisan kwetu, sasa pastor akauliza kwa pamoja je, kuna mtu mwenye kizuiz chochote ili ndoa zisifungwe????
bhas jamaa mmoja akasema "Hakuna.... hakuna... hakuna pingamiziii,
daaaah acha mabwana harusi wasifumuke jasho la hatari
😀 😀 😀 😀 😀 😀
 
d3209feef46a84b90433faa862676788.jpg
 
Nawakumbusha tu mkae nakuelewa Hakuna kipengele kigumu kama pale linapokuja swala padre au baba mchungaji atakapowauliza waumini na watu waliokuja kuhudhuria sherehe yenu ya harusi, Je hakuna mtu alie na kipingamizi kwenye harusi hii??? Sasa shughuli inakuwaga hapo na kasheshe
Mkuu bado unaaga tu??
 
Back
Top Bottom