Abbasfarudume
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,625
- 1,327
- Thread starter
-
- #21
π π π π π π π πMimi sijawahi kushuhudia zaidi ya yule mzee aliyesema mimi nina kipingamizi..padri alivyomuuliza akasema Mimi kipingamizi changu ni nilikuwa nyuma sisikii vizuri nimekuja hapa mbele kusikia vizuri hahaha
π π π π π πJuzi kat kulikuwa kuna harus tatu hapa kanisan kwetu, sasa pastor akauliza kwa pamoja je, kuna mtu mwenye kizuiz chochote ili ndoa zisifungwe????
bhas jamaa mmoja akasema "Hakuna.... hakuna... hakuna pingamiziii,
daaaah acha mabwana harusi wasifumuke jasho la hatari
Jf kutamu wewe π π π π πUmeshindwa kufanya maamuzi magumu boss
Ulikuwa unatupima imani au tuchulie ni moja ya uzi ulizoanzisha captain.Jf kutamu wewe π π π π π
Hizo kucha, ikulu kutakuwa kuchafu sana na kuna harufu mbaya!Noma sana alafu bi. Harusi awe mtoto mkali kama huyu, lazima Upagawe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] unapima imani za watuJf kutamu wewe π π π π π
Mkuu bado unaaga tu??Nawakumbusha tu mkae nakuelewa Hakuna kipengele kigumu kama pale linapokuja swala padre au baba mchungaji atakapowauliza waumini na watu waliokuja kuhudhuria sherehe yenu ya harusi, Je hakuna mtu alie na kipingamizi kwenye harusi hii??? Sasa shughuli inakuwaga hapo na kasheshe
Mtoto mkali hivi!!! Hata mm najitolea kuweka pingamizi hata ya kubuni tuNoma sana alafu bi. Harusi awe mtoto mkali kama huyu, lazima Upagawe.
Uzi huo mkuu nimekaa na kutfakari, nikajiuliza nitoke vipi humu Jf.Ulikuwa unatupima imani au tuchulie ni moja ya uzi ulizoanzisha captain.
π π π π π π lkn nimejua kuwachemsha leo, si mnajifanya wajanja nyinyi.[emoji23] [emoji23] [emoji23] unapima imani za watu
π π π π π π bado nipo nipo sanaaa mkuu.Mkuu bado unaaga tu??
π π π π π π kuna mtu humu kasema, ole wake atakaemletea pingamizi atatembeza visu ukumbi nzima.Mtoto mkali hivi!!! Hata mm najitolea kuweka pingamizi hata ya kubuni tu
π π π π π π π πHizo kucha, ikulu kutakuwa kuchafu sana na kuna harufu mbaya!
Hahahaha nakweli umetoka poaUzi huo mkuu nimekaa na kutfakari, nikajiuliza nitoke vipi humu Jf.
π π π π π π kama kawaaa, kama kawaida mkuu.Hahahaha nakweli umetoka poa