Uzi maalum kwa tuliowahi kuibiwa simu.

Simu yangu ya mkopo ili ibiwa kwenye basis LA Kilimanjaro express
Kitendo cha kuiweka juuu ya mapaja nikiwa naskiza mziki wakati was safari nikapitiwa na usingz kuja kushtuka nine baki na head phne
Jinsia yako ni IPI?
 
Aunt yangu aliibiwa simu kwenye Bunge la Katiba mpya wakati linaendelea live na inasemekana Bashite ndio aliipitia.
 
Hukujua tu hyo stile Mkuu,IPO long time Sana'a,hasqa maeneo ya KKOO MTAA WA CONHO MUHIMU kutana na hali hyo kwanza shuka Mali zako kisha geuka kiskiliza,Mimi wamenikosa kama mata2 waziwazi
 
Application nzuri ni Avast. Halafu ukiisha_idownload, hakikisha unaificha kisha activate kwa kutumia laptop/computer au simu nyingine. Activate by loging kwa kutumia either Facebook/Gmail.

Hii ilimpata wife alikuwa K/koo nilikuwa Kenya nimeshamtumia hela wakachukua simu karibu wapite na laki mbili yake. Hii story iliniuma sana sijawai taka anisimulie.

Baadae nikamtafutia simu nyingine na kuinstall hiyo app hata kwenye simu yangu.
 
Cmu gan mkuu na hyo laptop n lini Kuna mwiz ameuza vtu kama ivyo afu ilitokea wap
 
Nimewai ibiwa iphone kwa mbunu iyo iyo exactly.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…