Uzi maalum kwa 'vitu used'

Bei gani unauza hivi vitu? Ninavihitaji sana
Hello nina vitu vya saluni hapa
Kuna kiti cha mteja kunyolewa
Na wateja kusubiri wanakaa watatu
Na mashine aina ya wahl
Na feni size ya kati
Call/txt;0712654515
 
Natafuta PS3 za size yoyote, nahitaji mbili ila hata kama unayo moja sio mbaya.
 
Tecno Camon 11,imetumika week 2 tu. 300k. Ni-PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…