pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
Hii mpya dukani inauzwa bei gani"INAUZWA"
Subwoofer ya Geepas na speaker zake 2
Bei 50,000
Ukihitaji unaweza ukani PMView attachment 967868View attachment 967869
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii mpya dukani inauzwa bei gani"INAUZWA"
Subwoofer ya Geepas na speaker zake 2
Bei 50,000
Ukihitaji unaweza ukani PMView attachment 967868View attachment 967869
Solid kwa maana ya mbao ni ngumu?
Hello nina vitu vya saluni hapa
Kuna kiti cha mteja kunyolewa
Na wateja kusubiri wanakaa watatu
Na mashine aina ya wahl
Na feni size ya kati
Call/txt;0712654515
Kwa sasa madukani hazipatikani, ila wakati zinauzwa bei ilikuwa 120k - 100k.Hii mpya dukani inauzwa bei gani
Kula 180000**INAUZWA**
Sony Experia Z3
Display 5'2 | ram 3gb
Network 4g | Storage 32gb
Camera 20mp LED Flash
Battery 3100mAh
Price 220kView attachment 962082
Imeshauzwa mkuuKula 180000
Bado ipo nichekbdo ipo?
Hii subwoofer bado ipo? ina bluetooth connection?Kwa sasa madukani hazipatikani, ila wakati zinauzwa bei ilikuwa 120k - 100k.
Bado ipo mkuu, ila bluetooth haina.Hii subwoofer bado ipo? ina bluetooth connection?
Kama bado ziko, bei ikifika 650k nistue.... maongezi yapo."INAUZWA"
Sofa ya soft leather
Ipo seti moja ya kukaa watu saba
Iko kwenye hali nzuri kama inavyoonekana
Bei ni 900k
Ukihitaji unaweza ukani PMView attachment 967815
View attachment 967808
mkuu unapatkana wap?
Poa boss, nimekutumia namba PM. Nicheki tuongee.Kama bado ziko, bei ikifika 650k nistue.... maongezi yapo.
Lugha ya Malkia hiyoSolid kwa maana ya mbao ni ngumu?
Au ulitaka kusema Sold kwa maana ya kwamba limeshauzwa?
Hivi hizi TECNO Camon 11 zina matatizo gani? Naona matangazo kadhaa mtandaoni watu wanaziuza zikiwa bado mpya mpya kabisa.Tecno Camon 11,imetumika week 2 tu. 300k. Ni-PM
iko bado?"INAUZWA"
Subwoofer ya Geepas na speaker zake 2
Bei 50,000
Ukihitaji unaweza ukani PMView attachment 967868View attachment 967869