Uzi maalum kwa 'vitu used'

Uzi maalum kwa 'vitu used'

iPhone 5s clean goes 200k

Simply xchange with samsung brand under condition

Njo whatsap [emoji1428]0629795064

e4308e31ce2c49bcc0fdc7453b561732.jpg
a8b746a08e1af6dfc9443cbf1a47305e.jpg
b71a9689d768f43c3cada9ba3b5f8953.jpg
Unachukua grandprime plus?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeona sio jambo baya Kama tukawa na Uzi maalum kwa ajili ya kuuza vitu used especially vitu vya ndani..pia ikumbukwe gharama ya vitu used inakuwa nafuu kwa mnunuaji

Kama hali ilivyo kuwa ngumu.kuna wengine wanakimbia mjini na kuuza vitu vya ndani, wako wanaobadilisha furniture na kuweka mpya na wanaohama kikazi au kwa sababu maalum

Huu ndio utakuwa Uzi wetu Wa kutangaza vitu tunavyouza pia Kama unahitaji unaweza kusema wadau wakatafuta

Kitanda ,godoro, meza, stuli, friedge,tv,radio,deki, kabati la nguo na vyombo, zulia, sofa, pasi, jiko la gas na umeme ,vyombo vya ndani, vyombo vya maofisini n. K

Utaratibu utakuwa; utaweka kitu unachouza yaani picha ya bidhaa yako na bei yake ukiweza kuandika namba ya simu itakuwa vizuri zaidi na mahali ilipo bidhaa

Kama una usafiri Wa bure kwa mteja (free delivery) utatuambia wanajukwaa..huu uzi kwa ajili ya wauzaji na wanunuaji wa kweli kama hauko serious tuache wenye kuelewa vitu used ..au wanasema asiyehusika na shoo akae pembeni


Sofa la L 360,000
Dryer 200,000@1
Kabati la nguo mbao ngumu200,000
Friedge hotpoint480,000
Bakuli2000@1
Glass4000
Sahani3000@1
Tvshowcase230,000
Brenda60,000
Jiko pamoja na mtungi wake220,000

Vyote vinapatikana tabata bimaView attachment 865975View attachment 865976View attachment 865977View attachment 865978View attachment 865979View attachment 865980View attachment 865982View attachment 865983View attachment 865984View attachment 865986View attachment 865987View attachment 865990View attachment 865991
Mkuu machine ya selcom unauza shingapi
 
Najidakia store wanakuletea vitu vifuatavyo 0762612213

TV flat Samsung inch 42 kwa laki sita na nusu tu

Feni ya ukutani elfu 55 tu

Meza zipo mbili tu moja elfu 45 na nyingine elfu 60

King'amuzi cha azam laki moja na kumi na tano
Star times Zipo mbili elfu 50 kila moja

Mbezi beach dsm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Karibu sana
Namba zetu

0625 50 43 16
0712 58 31 57
0689 55 44 38 whatsapp
Tupo kibaha Picha ya ndege
Dar tunasambaza kwenye vituo vyote Vya mwendokasi
Mikoani tunatuma kwa uaminifu wa Hali ya juu sana.
IMG_20190225_170316_902.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom