Uzi maalum kwa 'vitu used'

Uzi maalum kwa 'vitu used'

Kariakoo mitaa agrey,
Sio lazima ukariri..
Ila nenda kariakoo uliza wapi wanauza vifaa kama computer, laptop, TV unaeza pata simple
Habari wakuu,poleni na majukumu.
Nina shida na VGA (Video Graphic Arrays) za kutoka kwenye Laptop/PC kwenda kwenye Flat Screen/TV.
Ziwe VGA - out to HDMI - in,VGA - out to VGA - in.
Naweza kuzipata wapi hizo cable kwa Dar?
Natanguliza shukurani sana na wote mubarikiwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nauza kitanda cha mbao ngumu bei 120000 kipo mwenge.. ukubwa 5 kwa 6
JPEG_20200507_101057_9011486719528146643.jpg
JPEG_20200507_101145_6951395096629954162.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nauza HD projector aina ya visiontek VS314 yenyewe sifa hizi: lumines 1800* contract ratio 2000* native resolution 480pixel.. ipo katka hali nzuri Sana nimeitumia kwa miezi 5 Ina muda was zaidi ya masaa 29,000 yaani ukitumia kila cku masaa 8 utaitumia kwa miaka 11 Bila kubadili bulb.. BEI TSHS 220,000
IMG_20200507_143608.jpg
IMG_20200507_143628.jpg
 
Back
Top Bottom