Fortnox
JF-Expert Member
- Jul 23, 2019
- 3,157
- 11,206
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wakuu,poleni na majukumu.
Nina shida na VGA (Video Graphic Arrays) za kutoka kwenye Laptop/PC kwenda kwenye Flat Screen/TV.
Ziwe VGA - out to HDMI - in,VGA - out to VGA - in.
Naweza kuzipata wapi hizo cable kwa Dar?
Natanguliza shukurani sana na wote mubarikiwe.
Linapatikana sehemu gani mkuu
Bado ipo?Sony music system
1000W
BLUETOOTH
USB
HDMI
450,000
Imetumika miezi miwili tu.
Kimara.View attachment 1424837
Sent using Jamii Forums mobile app
Hard disk ya laptop ukubwa GB 320 inatakiwa elfu 25000/=IPO vema kabisa...0659333655View attachment 1408057
Sent using Jamii Forums mobile app
Sofa 120k,
Jiko. 140k
Dressing table 100k
0768048752
Dsm external View attachment 1396825View attachment 1396826View attachment 1396827
Sent using Jamii Forums mobile app
Halotel router inasimama ngapiHp elitebook 8460p
HDD 500GB
RAM 4GB
Operating system Windows 8
Processor intel inside core i5 (2.60GHz)
Bluetooth built in
3hrs battery life
Power adapter
External mouse
Finger print authentication
Price 330,000
kwa atakaehitaji, pia ipo Halotel route (supports Halotel chip only)
Contact: 0765-983-83View attachment 1428688View attachment 1428689
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Kama Mpaka Tareh 15 Vitakuwepo NitakuchekNauza viti vya ofisini kwa kila kimoja 80000. Vimetumika mwaka mmoja bado viko imara kabisa.
Mawasiliano ni 0653399925 View attachment 1434496View attachment 1434497
Sent using Jamii Forums mobile app
6.5k Una maana ya 65 elfu, ama 6500juice dispenser ipo dar Bei 6.5kView attachment 1436948View attachment 1436951
|ChatBot[emoji880]✓|[emoji769]
nipo Dar
natafuta jiko dogo la gesi complete
nina elfu 25
Nauza kitanda cha mbao ngumu bei 120000 kipo mwenge.. ukubwa 5 kwa 6View attachment 1442364View attachment 1442365
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka namba yako ya simu plzNauza kitanda cha mbao ngumu bei 120000 kipo mwenge.. ukubwa 5 kwa 6View attachment 1442364View attachment 1442365
Sent using Jamii Forums mobile app