Uzi maalum kwa wagonjwa wa kisukari kupena mawazo na kusaidiana uzoefu wa kuishi kwa imani

Uzi maalum kwa wagonjwa wa kisukari kupena mawazo na kusaidiana uzoefu wa kuishi kwa imani

Nimeweka huu Uzi ili watu wanaoishi na ugonjwa kisukari kuelezana na kusaidia mawazo na uzoefu na changamoto za ugonjwa na kuelezana namna kukabiliana nazo karibuni
Kabla hujala ausubuh sukari Yako inakua ngap
 
Kula sana matunda, supu ya kuku ya kuchemsha na viazi.
Tubia tuqili tu kwa siku haswa serengeti lager.
Asante
 
Back
Top Bottom