min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 61,672 Reaction score 178,673 Aug 3, 2026 #1 Kuna sisi tuna vibe la kibongo bongo pesa inatutembelea kwa wakati😅... Tusivunge wakuu ,ebu tufanye kutamba 😆.... Japo nikidogo tu ila kuna namna tunaishi😇... Bongo wanaoishi maishi ya kula bata kwenye yachi ya kifahari hawazidi 50 kwa sasa😅😅
Kuna sisi tuna vibe la kibongo bongo pesa inatutembelea kwa wakati😅... Tusivunge wakuu ,ebu tufanye kutamba 😆.... Japo nikidogo tu ila kuna namna tunaishi😇... Bongo wanaoishi maishi ya kula bata kwenye yachi ya kifahari hawazidi 50 kwa sasa😅😅
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 61,672 Reaction score 178,673 Aug 3, 2026 Thread starter #2 Moderator rekebisha ni matajiri, mimi sio nyumbu kihivyo😆