Na uyo Mungu aliumbwa na nani? Kama hakuumbwa basi hata Dunia pia haikuumbwa, Ilikuwepo tu.nilishatoa mfano nikasema umekuta nyumba inajengwa umekuta na vifaa hapo ila hujakuta mafundi, au huwaoni hapo,
Je jengo na vifaa vyao sio uthibitisho kua mafundi wapo arround ?
tumeikuta dunia na mechanisim zake zinazoendelea kiasi cha kufanya uhai uendelee kiwepo.
hii sio uthibitisho wa nguvu iliyofanya viwepo hapo, elewa kwa mantiki hiyo
the highest power source of everything, Mungu
je wewe unachaguaje upande tu wa kusema default ni hayupo kwasababu humuoni ?
Haijathibitishwa bado.So something invisible causes gravity?
Haijathibitika kwa uhakika kwamba dark matter ndio ina provide sufficient gravity to hold galaxies.And it is massive enough to provide sufficient gravity to hold galaxies. And this makes sense to you but belief in God doesn't ?? 😂
Na wewe ulianzaje kujua Mungu yupo na ukafikia hatua ya kusema Mungu yupo ilhali haujaweza kutoa definition ya Mungu ni nini?In this case, kama science had come into conclusion of this invisible energy holding the galaxies (no body knows where it comes unless unataka kubreak principle of energy conservation) na ukaamini then I start to wonder ulifikia vipi conclusion ya kwamba Mungu hayupo, unaweza jaribu kunitengenezea logic yako
How does that verify its existence? And how did we come into conclusion kama IQ directly inapima intelligence, wewe apo unazilink vipiIntelligence inapimika, Kuna adi tests za IQ, je Mungu unaweza kumthibitisha?
hili swali nimelijibu multiple times hadi kwa mifano rahisi, kwenye bandiko hilihili, naona wote wameshakumbia kina kiranga,Na uyo Mungu aliumbwa na nani? Kama hakuumbwa basi hata Dunia pia haikuumbwa, Ili kuwepo tu.
hili swali nimelijibu multiple times hadi kwa mifano rahisi, kwenye bandiko hilihili, naona wote wameshakumbia kina kiranga,Na uyo Mungu aliumbwa na nani? Kama hakuumbwa basi hata Dunia pia haikuumbwa, Ili kuwepo tu.
Nini kinakufanya uamini?Imani ni kutokuwa na uhakika wa kitu fulani.
Ukishakuwa na uhakika na uthibitisho wa kitu fulani wala huhitaji imani tena kuhusu kitu hicho.
Unajibu swali kwa kutumia mifano ambayo ipo na mifano hiyo ina thibitishika ipo, Kuelezea kitu ambacho hakipo na huwezi kuthibitisha kipo.hili swali nimelijibu multiple times hadi kwa mifano rahisi, kwenye bandiko hilihili, naona wote wameshakumbia kina kiranga,
umelirudia tena na nadhani hatawe ulishaliuliza
"soma kwa hatua"
Kutokuwa na uhakika, ushahidi wala uthibitisho.Nini kinakufanya uamini?
Nothing can originate from nothing (law of conservation of energy and law of conservation of matter) You can't say kuna invisible force that holds the galaxy (haimake sense, it is illogical)Haijathibitishwa bado.
Ni nadharia tu.
Haijathibitika kwa uhakika kwamba dark matter ndio ina provide sufficient gravity to hold galaxies.
Bado tafiti zinaendelea kuchunguza ukweli wa madai haya.
Na wewe ulianzaje kujua Mungu yupo na ukafikia hatua ya kusema Mungu yupo ilhali haujaweza kutoa definition ya Mungu ni nini?
Ndio maana nikasema kaka ukiingiza elimu ya kidini utashindwa kuelewa mantiki, kiufupi ni hivi, hii Dunia, Ina umri wa mabilioni ya miaka, kwa maana Kuna kipindi hakukuwa na viumbe Duniani, baadae vikaanza ku evolve kwa ku adopt mazingira, Sasa ss babu yetu alizaa watoto walio adopt mazingira kitofauti ndo zikatokea izo jamii za sokwe, nyani, binadamu n.kI'm not into biology shi*ts, unasema theory of evolution haisemi kama tumeevolve from apes (kasome tena alafu ulete maelezo), ila wote babu yetu ni mmoja
Does this mean, kuna someone huko nyuma yeye alikuwa anazaa apes na humans at the same time??? Ama nimekuelewa vibaya
Sayansi imethibitisha, na wewe naomba unithibitishie uwepo wa Mungu.How does that verify its existence? And how did we come into conclusion kama IQ directly inapima intelligence, wewe apo unazilink vipi
Unajibu swali kwa kutumia mifano ambayo ipo na mifano hiyo ina thibitishika ipo, Kuelezea kitu ambacho hakipo na huwezi kuthibitisha kipo.
Kwa nini utumie mifano ambayo ipo kuelezea kitu ambacho hakipo?
Kwa nini utumie vitu vilivyopo kuelezea Mungu ambaye hayupo?
Muelezee na mthibitishe Mungu mwenyewe yeye kama yeye.
Sio kutumia mifano ya vitu ambavyo vipo kutaka kusema ndio uthibitisho wa huyo Mungu, ilhali hujaeleza hu
utatumiaje vitu ambavyo Havipo kuthibitisha we jamaa ?Unajibu swali kwa kutumia mifano ambayo ipo na mifano hiyo ina thibitishika ipo, Kuelezea kitu ambacho hakipo na huwezi kuthibitisha kipo.
Kwa nini utumie mifano ambayo ipo kuelezea kitu ambacho hakipo?
Kwa nini utumie vitu vilivyopo kuelezea Mungu ambaye hayupo?
Muelezee na mthibitishe Mungu mwenyewe yeye kama yeye.
Sio kutumia mifano ya vitu ambavyo vipo kutaka kusema ndio uthibitisho wa huyo Mungu, ilhali hujaeleza huyo Mungu ni nini?
Naomba unijibu na mm, uyo Mungu aliumbwa na nani?hili swali nimelijibu multiple times hadi kwa mifano rahisi, kwenye bandiko hilihili, naona wote wameshakumbia kina kiranga,
umelirudia tena na nadhani hatawe ulishaliuliza
"soma kwa hatua"
Ndio maana nika kwambia ni madai ambayo hayaja thibitishwa.Nothing can originate from nothing (law of conservation of energy and law of conservation of matter) You can't say kuna invisible force that holds the galaxy (haimake sense, it is illogical)
Kwa nini umu exclude huyo creator kwenye logic ya kuumbwa?The precision of Universe and how did everything came to align itself in position (Huwezi kusema un-natural force unless there's a creator for this ndo most logical conclusion)
If nothing originate from nothing,How everything came into motion and how these motions balance (haziwezi kujiset zenyewe kwenye motion unless they get energy from somewhere else which also means there will be creator X)
NOTE: nothing can move unless compelled by an external force (first law of motion)
Just this few, it was sufficient to say the most logical conclusion ni kuona kwamba there's a creator for this universe
Mwisho wa siku, Imani juu ya uwepo wa Mungu inabaki kuwa Imani tu, hakuna anae weza kuthibitisha. Mungu, yesu, majini, malaika wachawi, watabaki ku exist kwenye imagination zetu tu, lakini physically hawapo.
Viumbe wakatokana na Nini??? I presume this reaction (which lead to the creation of life-forms) was spontaneousNdio maana nikasema kaka ukiingiza elimu ya kidini utashindwa kuelewa mantiki, kiufupi ni hivi, hii Dunia, Ina umri wa mabilioni ya miaka, kwa maana Kuna kipindi hakukuwa na viumbe Duniani, baadae vikaanza ku evolve kwa ku adopt mazingira, Sasa ss babu yetu alizaa watoto walio adopt mazingira kitofauti ndo zikatokea izo jamii za sokwe, nyani, binadamu n.k
Hiyo ni analogy ya watchmaker ilianzishwa na Paley mwaka 1770.nilishatoa mfano nikasema umekuta nyumba inajengwa umekuta na vifaa hapo ila hujakuta mafundi, au huwaoni hapo,
Je jengo na vifaa vyao sio uthibitisho kua mafundi wapo arround ?
tumeikuta dunia na mechanisim zake zinazoendelea kiasi cha kufanya uhai uendelee kiwepo.
hii sio uthibitisho wa nguvu iliyofanya viwepo hapo, elewa kwa mantiki hiyo
the highest power source of everything, Mungu
je wewe unachaguaje upande tu wa kusema default ni hayupo kwasababu humuoni ?
Mimi sidai kwamba Mungu yupo.utatumiaje vitu ambavyo Havipo kuthibitisha we jamaa ?
Wewe unayedai kwamba vitu hivi haviwezi kuwepo vyenyewe tu pasipo huyo Mungu ndio inabidi uthibitishe?sawa kwaiyo wewe unatumia vitu ambavyo vipo kuthibitisha kwamba Mungu Hayupo ?
Dunia na jua vipo vyenyewe tu pasipo kuhitaji huyo Mungu wako unayedai yupo.sasa...
Dunia ipo na Jua lipo, na Dunia inazunguka jua
unathibitishaje kwamba Mungu hayupo ? kwakutumia hivyo vitu ambavyo vipo?
tena Yesu ndo anathinitishika physically kwa ku pitia Archeology na Ancient history kwasababu ali exist kama Human being, kwaiyo ameacha Trace nyingi tuu ambazo hadi science inakubali ali ishi takriban miaka 2000 iliyopitaMwisho wa siku, Imani juu ya uwepo wa Mungu inabaki kuwa Imani tu, hakuna anae weza kuthibitisha. Mungu, yesu, majini, malaika wachawi, watabaki ku exist kwenye imagination zetu tu, lakini physically hawapo.