P h a r a o h
JF-Expert Member
- Mar 25, 2024
- 785
- 1,413
- Thread starter
- #1,021
picha ya upande wa kushoto ni muonekano kama golden rario isipofuatwa
ratio inapokaribiana zaidi na 1.618 ndio sura huonekana ya kuvutia zaidi
kadiro ratio inavyopishana na 1.618 suna na muonekano wa kiumbe unapoteza mvuto
hiyo inaitwa divine ratio iliyotumika kwenye uumbaji
mwili mzima unafuata ratio hoyo ndo unapata muonekano wa mpangilio wa viungo