Chosen Rich
JF-Expert Member
- Jan 7, 2019
- 1,467
- 989
Mbona hueleweki ?Binadamu kabla hajaweza kuunda meli, ndege, simu, kompyuta, satellite, cameras n.k
Angeridhika na haya mawazo yako kwamba "Ana ukomo wa kufikiri" sidhani kama Ange endelea na tafiti, uchunguzi na majaribio yaliyo fanikisha uwepo wa vitu hivi leo hii..
Binadamu hana ukomo wa kufikiri, Binadamu hajui asivyo vijua, ila ana endelea kupunguza asivyo vijua kwa utafiti, uchunguzi, udadisi na majaribio zaidi.
Na nkuulize swali kama binadamu hana ukomo wa fikra na huwa siku zote anaendelea kupunguza asivyovijua,
kwanini wewe usiendelee kusubiri siku ambayo utakua umepata jibu kuhusu uwepo wa Mungu ?
Maana hauna majibu kamili lakini umehitimisha kuwa hakuna Mungu