Uzi maalum kwa wale wanaopinga uwepo wa Mungu

huu uzi hauongelei Dini, hiyo ni mada nyingine, alafu ukitaka kujadili dini ki ufasaha ni lazima ujikite kwenye dini moja ndo uichambue,

maana kila dini ina historia yake, kuna traditions nyingi zinatofautiana,
na mambo mengi,

sasa wew kurukia mara ume chukua hii kwenye Uislam, mara hii kwenye ukristo, mara hiki unachukua kwa wanaosali jumamosi،

inaonyesha ukosefu mkubwa wa akili na hujui hasa una lenga nini zaidi ya kubishana.

all in all dini zote ni njia tu ya kumfikia Mungu, na zilikuja baadae sana,

ndo maana ukitaka kujua uwepo wa Mungu si lazima utafute References kwenye maandiko
Uwepo wa Mungu is Self evident

kwanini kila mara hoja zako zinajikita kwenye dini alili yako ni Finyu au una uelewa Mdogo sana kuhusu Mungu
Kaka kubali tu Mungu hayupo. Maana umeshindwa kunionesha nimuone
 
Uo utitiri wa dini unatosha kabisa kuonyesha uyo Mungu hayupo.
Kama Mungu mmoja angekuwepo kungekuwepo na dini Moja tu.
 
Hivi ulielewa lakini nilichokisema?

Nimekwambia hivi, hata wewe unaeamini Mungu yupo, unajua fika kwamba izo stori za Mungu na dini zake ni za uongo,

Na ndo maana wewe humuani Allah kama yupo, na mafundisho ya dini ya kiislam unajua fika ni ya uongo.

Pia humuamini Mungu Vishnu wa wahindu, na dini ya kihindu unaiona ya uongo.

Ivo Ivo kwa Mungu wengine wengi ambao huwaamini kama Zeus na Warumbe.

Umeelewa Sasa?, hata wewe unajua izo stori za Mungu na dini, zilitungwa tu na watu na Wala si za ukweli.
 
Uo utitiri wa dini unatosha kabisa kuonyesha uyo Mungu hayupo.
Kama Mungu mmoja angekuwepo kungekuwepo na dini Moja tu.
njia na vichochoro vyote vya kuku fikisha Kariakoo ni vingapi,

wingi wa njia za kwenda sahamu moja ndo unaonyesha umuhimu wa sehemu husika

mbona hausemi kwasabu njia ni nyingi za kukufikisha kariakoo basi kariakoo haipo ?.

we jamaa unahitaji kupewa mifano mepesi sana kama ile ya kufundishia watoto ndo kitu nilichogundua
 
Umeshaanza siasa zenu hahaha, mthibitishe uyo Mungu acha kuruka ruka
 
njia na vichochoro vyote vya kuku fikisha Kariakoo ni vingapi,

wingi wa njia za kwenda sahamu moja ndo unaonyesha umuhimu wa sehemu husika

mbona hausemi kwasabu njia ni nyingi za kukufikisha kariakoo basi kariakoo haipo ?.

we jamaa unahitaji kupewa mifano mepesi sana kama ile ya kufundishia watoto ndo kitu nilichogundua
Wote tunajua kariakoo Ipo ndo maana haijaleta ubishi.

Swala la Mungu linaleta ubishi kwa sababu hayupo, lakin hutak kukubali ukweli kwamba Mungu hayupo, na hajawah kuwepo.
 
We mbona unakisia Mungu yupo wakati hujawah kumuona Wala kumsikia, umejuaje yupo?
Kuhusu uwepo wa MUNGU nina uhakika yupo. Mimi mwenyewe ni kazi ya mikono ya MUNGU na huu ni ushahidi tosha kuwa MUNGU yupo.

MUNGU alituumba kwa mfano wake, maana yake sisi tuna tabia za Kiungu ndani yetu na moja ya tabia ya Kiungu ni kuumba.

Sisi binadamu tunaumba au tunabuni vitu na kuvitengeneza. Mfano meli, magari, robots nk. Hii tabia na uwezo wa kubuni na kutengeneza tumeipata kutoka kwa MUNGU aliyetuumba kwa mfano wa tabia zake.

Chochote kile kilichotengenezwa juu ya dunia ni kazi ya mikono ya mtu fulani. Kila ubunifu uliopo duniani una mmliki wake. Mfano, tukiona robots tunajua mbunifu wake wa kwanza ni George Devol. Huo ni uthibitisho kwamba "robots" zimeumbwa au kutengenezwa na mwanadamu.

Hakuna kitu au kiumbe kilichojitengeneza au kujiumba chenyewe. Mwanadamu aliumbwa na yeye pia anaumba vitu. Mwanadamu aliumbwa na MUNGU. Tumejuaje?

Tumejua kwa sababu BWANA MUNGU kupitia maandiko anatuambia kuwa Yeye ndiye MUUMBA wetu.

Kama vile The Wright brothers walipotengeneza ndege ya kwanza walijitangaza kwa kusema wao ndiyo wenye hati miliki (patent) ya ndege ile waliyoitengeneza.

BWANA MUNGU naye vivyo hivyo kupitia maandiko anajitangaza kuwa YEYE ndiye mwenye hati miliki yetu sisi na viumbe wengine wote ikiwemo dunia na ulimwengu wote (the whole universe).

Hizo kazi za mikono yake ni uthibitisho tosha kuwa MUNGU yupo. Kama vile sisi pia kazi za mikono yetu zinathibitisha uwepo wetu.

Akitokea mtu anapinga kwamba George Devol sio mtu wa kwanza kutengeneza a programmed robot, aje na uthibitisho kutuonesha kuwa George Devol hakutengeneza robot ya kwanza.

Vivyo hivyo mtu anayepinga kuwa BWANA MUNGU hakuumba mwanadamu, mtu aje na uthibitisho unaotuonesha kuwa BWANA MUNGU hakumuumba mwadamu.
 
Nakunukuu , umesema, " hakuna kitu au mtu anaeweza kujiumba mwenyewe.
Naomba unijibu, ye Mungu aliumbwa na nani?
 
BWANA MUNGU siyo "kiumbe" wala sio "kitu" (an object). Kiumbe kinaumbwa na "kitu" kinatemgenezwa.

BWANA MUNGU ni "ROHO". Hana mwanzo wala hana mwisho. Na hatuwezi kujua chochote mpaka YEYE mwenyewe atufunulie. Haya tunayoyajua kumuhusu YEYE tunayajua sababu katufunulia kupitia "maandiko".
 
Mungu hayupo na kitendo cha kuwepo Miungu wengi ndio kinazidi kuonyesha Mungu hayupo maana kila upande unafanya mambo yake bila ya kutegemea Upande mwingine
 
BWANA MUNGU siyo "kiumbe" wala sio "kitu" (an object). Kiumbe kinaumbwa na "kitu" kinatemgenezwa.

BWANA MUNGU ni "ROHO". Hana mwanzo wala hana mwisho. Na hatuwezi kujua chochote mpaka YEYE mwenyewe atufunulie. Haya tunayoyajua kumuhusu YEYE tunayajua sababu katufunulia kupitia "maandiko".
Hichi unachokisema ni hadithi tu za uongo, ambazo umeamua kuzikubali.
Nikuulze swali je ni kweli Mtume Muhammad alifunuliwa na Mungu?
 
Hawa watu wanajitoa ufahamu kwanza jiulize kwann mitume yote itokee huko Israel na Arabia yaan hakuna mtume mzungu au mchina au muhindi au Africa kwann
 
Fikra zako tu ambazo unaleta kupitia hoja zako hapo ni uthibitisho tosha

Unataka uthibitisho gani mwingine kama sio kusumbuana hapa
Binadamu kabla hajaweza kuunda meli, ndege, simu, kompyuta, satellite, cameras n.k

Angeridhika na haya mawazo yako kwamba "Ana ukomo wa kufikiri" sidhani kama Ange endelea na tafiti, uchunguzi na majaribio yaliyo fanikisha uwepo wa vitu hivi leo hii..

Binadamu hana ukomo wa kufikiri, Binadamu hajui asivyo vijua, ila ana endelea kupunguza asivyo vijua kwa utafiti, uchunguzi, udadisi na majaribio zaidi.
 
Back
Top Bottom