Uzi maalum kwa wale wanaopinga uwepo wa Mungu

kwaiyo kwa mantiki hiyo Dunia ni extra ordinary power

Jupiter ni Extra ordinary power

Jua ni extraordinary power

Mwezi ni Extraordinary power etc
Nature ndio extra ordinary power.

Na kila kitu ni part ya hiyo Nature.
 
Siwezi kukuonesha kwani hajanipa uwezo wa kutambua physical appearance yake. Na wewe nioneshe akili ipo wapi
Hapo unanithibitishia kuwa hayupo, ndo maana umeshindwa kunionesha uyo Mungu.
Akili Ipo kichwani kaka.
 
Tukipasua kichwa tunaweza kuiona?
Tunaweza kuipima, nikikupeleka hospitali Wana weza kukupima, na wakakupa majibu kama una akili au hauna. Ila najua itaonekana una akili, ila kwa wengne waliopoteza akili zao itaonekana hawana akili
 
Tunaweza kuipima, nikikupeleka hospitali Wana weza kukupima, na wakakupa majibu kama una akili au hauna. Ila najua itaonekana una akili, ila kwa wengne waliopoteza akili zao itaonekana hawanana akili
Umesema ipo kichwani, nani amewahi kuiona na ina sura au umbo gani?
 
Hapo unanithibitishia kuwa hayupo, ndo maana umeshindwa kunionesha uyo Mungu.
Akili Ipo kichwani kaka.
Nature ndio extra ordinary power.

Na kila kitu ni part ya hiyo Nature.

Nature ndio extra ordinary power.

Na kila kitu ni part ya hiyo Nature.
Mwanzo ulisema Dunia ni extraordinary Power,

saivi umesema Nature ndo extraordinary power

vyema ! unazidi kuja kwenye concept yetu !

Em tueleze Nature ndo nini, isije kua ina maana hiyo hiyo ya Theists tuyayo refer kwa jina lingine Mungu

mimi binafsi natumiaga neno Nature ku refer hiyo Extraordinary power mfano: kuna reply flani huko juu nimesema

"hili bandiko limekua powered by Nature...."

kwaiyo according to maelezo yako hapo juu umekiri Tayari kwamba Nature ndo extraordinary power.

na umesema kilakitu kipo kwenye Nature, kwaiyo Extraordinary power ambayo ndo Nature ndo ina control vyote.

kwiyo ku summarize, unaamini uwepo wa extra-ordinary power ambayo ni nature na vitu vyote vipo kwenye nature na vinakua controled by nature.

kwa mantiki hiyo umeingia rasmi kwenye Concept ya Theist

reply yako nita i screenshot kabisa ili usije ukaiedit.
 
Umesema ipo kichwani, nani amewahi kuiona na ina sura au umbo gani?
Ndo maana nimekwambia, akili inathibitika, sababu nikitu kinachoweza kupimwa, na kikagindulika kipo au hakipo.
Lakini Mungu hawez kuthibitishwa hata siku Moja, kwa sababu hayupo
 
Ndio maana nilikwambia extra ordinary power ni nature.

Ulichofanya wewe nikubadilisha jina tu na kuiita hiyo nature Mungu.

That's why nilisema hapo juu Mungu ni jina tu.
 
Ndio maana nilikwambia extra ordinary power ni nature.

Ulichofanya wewe nikubalisha jina tu na kuiita hiyo nature Mungu.

Mungu ni Jina rasmi linalotumika kwenye Lugha ya kiswahili, kila lugha ina jina lake,

ila theists wote wanalenga kitukimoja
licha ya majina kutofautiana kutokana na Lugha

we believe in Extraordinary power, highest power above all, the source of everything.

Mungu, Allah, God

na majina yote unayoweza kuita kutokana na Lugha,

kwaiyo ukikubaliana na uwepo wa hii power automatically umekubaliana na uwepo wa Mungu,

mbali na hapo ni majina tu ambayo hilo ni swala la Lugha.
 
Ndo maana nimekwambia, akili inathibitika, sababu nikitu kinachoweza kupimwa, na kikagindulika kipo au hakipo.
Lakini Mungu hawez kuthibitishwa hata siku Moja, kwa sababu hayupo
Mungu pia anathibitika, na ishara yeke ya kwanza ni uwepo wako wewe hapa duniani
 
Mwanzo ulisema Dunia ni extraordinary Power,

saivi umesema Nature ndo extraordinary power

vyema ! unazidi kuja kwenye concept yetu !

Em tueleze Nature ndo nini, isije kua ina maana hiyo hiyo ya Theists tuyayo refer kwa jina lingine Mungu

mimi binafsi natumiaga neno Nature ku refer hiyo Extraordinary power mfano: kuna reply flani huko juu nimesema

"hili bandiko limekua powered by Nature...."

kwaiyo according to maelezo yako hapo juu umekiri Tayari kwamba Nature ndo extraordinary power.

na umesema kilakitu kipo kwenye Nature, kwaiyo Extraordinary power ambayo ndo Nature ndo ina control vyote.

kwiyo ku summarize, unaamini uwepo wa extra-ordinary power ambayo ni nature na vitu vyote vipo kwenye nature na vinakua controled by nature.

kwa mantiki hiyo umeingia rasmi kwenye Concept ya Theist

reply yako nita i screenshot kabisa ili usije ukaiedit.
Ndio maana nilikwambia extra ordinary power ni nature.

Ulichofanya wewe nikubalisha jina tu na kuiita hiyo nature Mungu.

That's why nilisema hapo juu Mungu ni jina tu
Mungu ni Jina rasmi linalotumika kwenye Lugha ya kiswahili, kila lugha ina jina lake,

ila theists wote wanalenga kitukimoja
licha ya majina kutofautiana kutokana na Lugha

we believe in Extraordinary power, highest power above all, the source of everything.

Mungu, Allah, God

na majina yote unayoweza kuita kutokana na Lugha,

kwaiyo ukikubaliana na uwepo wa hii power automatically umekubaliana na uwepo wa Mungu,

mbali na hapo ni majina tu ambayo hilo ni swala la Lugha.
Pia hapohapo utakuwa umekubaliana na uwepo wa "Nature" regardless ya jina gani unalotumia kuiita hiyo nature.

Ukiamua kuiita hiyo Nature, Mungu God, Allah n.k vyovyote vile point inabaki palepale kwenye nature.

Hivyo Mungu ni jina tu.
 
Dini ni njia.
Ni vizuri ukaweka na source ambayo ni reliable ulipotoa hiyo tafsiri yako ili kuepusha utata huko mbeleni.

Na niliuliza maswali mawili naomba unijibu yote kuzingatia source ili tuweze kuhakika usahihi wa jibu.
 
Hakuna aliyewahi kumuona Mungu, kama ilivyo hakuna aliyewahi kuiona Akili
Hakuna aliyewahi kumuona, na hakuna atakaekuja kumuona kwa sababu hayupo.. Sasa nyie watu wa dini izo Sheria zake mnazolazmisha tuzifate mmezitoa wapi?
 
Hakuna aliye lazimisha kufuata sheria za Mungu, kama huamini uwepo wake ni maamuzi yako na una haki ya kuchagua bila kulazimishwa
 
Duh, ko we umeamua kuamini Mungu yupo bila ushahidi... Anyway dini Yako itumie vizuri usiwaumize watu kisa dini.
 
Mkuu naumiza watu kivipi? Au wewe ndyo unaumia kuona watu wanaamini uwepo wa Mungu
Namaanisha, Kuna wanaoamini, wanaweza kumchinja mtu na kusema wametumwa na Mungu kufanya Ivo, au wakajilipua... Kwa wakristo mnafurahia wapalestina wakiuawa huwa mnamaanisha nini?
 
Back
Top Bottom