A Peculiar people
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 612
- 773
Sio kufundishwa.. Ni kweli nimezaliwa katika ukristo tena mkatoliki ila imepita miaka ishirini na kitu nikawa sijaelewa hata ukristo wenyewe ni nini.. naenda kanisani nikaokoka bado nikawa sijaelewa ni nini.. Mpaka pale nilipopata right doctrine ndio nikaelewa ninachoamini.. UKRISTO SIO DINI.. Ukristo ni kiwa embodied na kristo.. kuna somo hapo la mwili nafasi na roho..Bado unaongea nadharia za kikristo ulizo fundishwa kanisan. Lakin hujathibitisha uwepo wa Mungu