Iblis Bin Shetan
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,824
- 2,445
Hoja yako ipi ili tukusaidieHujajibu swali nililo kuuliza.
Umekisoma ulichokiandika ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hoja yako ipi ili tukusaidieHujajibu swali nililo kuuliza.
Umekisoma ulichokiandika ?
Sijaamini chochote hapo ni logic ile ile unayosema.. kama hakuna kinachoshikilia uhai wako means wewe sio kiumbe hai?Hakuna kitu kinachoshikilia uhai wangu, izo ni Imani zako tu.. usikwepeshe thibitisha kuwa Mungu yupo
Kwa sababu dunia haijaumbwa.bado unazunguka bila kutoa sababu,
inawezekanaje Dunia iwepo tuu...
Na wewe toa sababu.Theists tuna sababu tukisema Mungu alikwepo tu hajaumbwa na Ataendelea kuwepo tuu.
Uli elewa niliyokwambia mwanzo,Atheists mna sababu ipi ya ku-support kwamba kitu kina weza kuwepo tuu bila sababu, je hii ni hali ya kawaida ?,
Kwa nini unadhani si hali ya kawaida?hata kama unasema dunia ilikwepo tuu
je hiyo ni hali ya kawaida kwamba kitu kiwepo tuu ?
Hiyo extraordinary power ndio Dunia yenyewe.kama sio kitu cha kawaida unakiekezeaje simply kwa kusema ni simple Logic na hamna extraordinary power beyond everything beyond human understanding ?
Hujajibu brotherKasome kwanza ndo uje tujadiliane, maana naona we umeisoma biblia tu, vingne hujataka kuvisoma
Tuseme mimi sijaelewa na naona kabisa wewe ndugu yangu kisomo kimepanda.. nisaidie ili na mimi ambae sijui nielewe ili nisije nikawa napotea kwa ujingaKasome kwanza ndo uje tujadiliane, maana naona we umeisoma biblia tu, vingne hujataka kuvisoma
Bahari zimeundwa kutokana milipuko ya volcanic, iliyosababisha maji kutokea chini ya Ardhi kuja juu, maana uko chini ya Ardhi huwa Kuna majiTuseme mimi sijaelewa na naona kabisa wewe ndugu yangu kisomo kimepanda.. nisaidie ili na mimi ambae sijui nielewe ili nisije nikawa napotea kwa ujinga
Miti imeevolve kutoka kwenye mimea ya ferns na mosses ilikuwa baharani mwanzo, lakin movement ya maji ya bahari ikaisambaza mpka nchi kavu, iyo ni miaka 370 million iliyopita.Tuseme mimi sijaelewa na naona kabisa wewe ndugu yangu kisomo kimepanda.. nisaidie ili na mimi ambae sijui nielewe ili nisije nikawa napotea kwa ujinga
Tuletee huo uthibitisho na sisi tuuoneTheory ya evolution imethibitishwa kisayansi, ila creationism haijathibitishwa mpka Leo.
Na kwann wewe ni rahs kuamin tumeumbwa kwa udongo, unaamini kabisa ilo linawezekana kwa logic?
Kama mwanadamu aliumbwa na Mungu kwann Kuna wazungu, waafrica, wachina, waarabu, wasomali n.k ?
ni kweli kuna maji chini na juu pia kuna maji.. lakini yanachanzo.. hivyo vina chanzo.. havitokei tuBahari zimeundwa kutokana milipuko ya volcanic, iliyosababisha maji kutokea chini ya Ardhi kuja juu, maana uko chini ya Ardhi huwa Kuna maji
Haya uthibitisho wa kwanza DNA ya mwanadamu na ya nyani zinafanana sana kwa asilimia 99.Tuletee huo uthibitisho na sisi tuuone
Sasa hayo unayosema miaka million kadha sote wawili hatukuwepo tumejifunza baada ya kuzaliwa.. na kila mtu anathibisha kwa namna yake kwamba ni kweli ama si kweli..Miti imeevolve kutoka kwenye mimea ya ferns na mosses ilikuwa baharani mwanzo, lakin movement ya maji ya bahari ikaisambaza mpka nchi kavu, iyo ni miaka 370 million iliyopita.
Miti ni viumbe hai, ambavyo pia vime evolve
Ndo nikakuuliza Mungu yeye ameumbwa na nani?ni kweli kuna maji chini na juu pia kuna maji.. lakini yanachanzo.. hivyo vina chanzo.. havitokei tu
Dah unaamini Hadi majini, mbna we huyapati, au mbna mm ambae siamin Mungu siyapati?
Science imethibitisha hayo mambo mtu ku act kama ana mapepo ni ugonjwa wa
Kwa sababu Dunia haijawahi kuumbwa.
Aliyekwambia hii concept ni ya Theists tu, ni nani?
Au unadhani kwamba hii concept haiwezi ku apply kwenye Dunia?
Ulijuaje na unathibitishaje Mungu ni highest power beyond understanding?
Au unafosi tu mawazo yako?
Sababu ni nini?
Unataka sababu gani ujue kwamba hii ni simple logic?
Nilikwambia hivi, 👇
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na Muumbaji wake, Hata Muumbaji wa kila kitu lazima awe na Muumbaji wake.
Na kama si lazima kila kitu kiwe na Muumbaji wake, Hata Dunia haihitaji iwe na Muumbaji.
Usicho elewa ni nini?
Au unataka sababu gani zaidi?
Utasemaje Mungu ni highest power beyond everything, ilhali haujaweza hata kumthibitisha kwamba yupo?
Dunia ipo na inaonekana na kuthibitishika ipo,
Na hakuna wakati wowote ule ambapo dunia haikuwepo kisha ikawepo.
Kila mtu amezaliwa ndani ya dunia na kuikuta tayari ipo.
Tumeiba kutoka wapi?
Huyo Mungu alikuwepo tu how?
Hakuna kitu kilichokuwa designed.
Vitu vyote vipo vyenyewe tu bila kuwa designed.
Hakuna ulazima wa kwamba kila kitu kimekuwa designed.
Ila kama ulazima huo upo, Hata huyo Designer wa kila kitu lazima awe Designed.
Na kama ulazima huo haupo, Hata vitu Havihitaji kuwa designed na designer.
Ndio dunia ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo.
Kama haiwezekani dunia kuwepo tu yenyewe, Hata huyo Mungu haiwezekani awepo tu mwenyewe.
Una elewa hilo?
Ukishasema MUNGU inatosha kukueleza kwamba ni mwanzo na mwisho..Ndo nikakuuliza Mungu yeye ameumbwa na nani?
Kwa sababu hakuna aliyethibitisha uwepo wa Mungu.Sasa hayo unayosema miaka million kadha sote wawili hatukuwepo tumejifunza baada ya kuzaliwa.. na kila mtu anathibisha kwa namna yake kwamba ni kweli ama si kweli..
Ni nini hasa kimekufanya usiamini uwepo wa Mungu angali wakati hayo yanatokea hukuwepo ila ulifundishwa ukayakubali..
Hao nyani ni hawa wa sasa ?Haya uthibitisho wa kwanza DNA ya mwanadamu na ya nyani zinafanana sana kwa asilimia 99.
Nafikiria nje ya box chief, siwez amini vtu ambavyo havipoIfanyike ba
Tangu nianze kuona hoja zako jambo ambalo nimebaini ni tatizo kwako, ni ukomo wako wa kufikiri,
Ukomo wako wa kufikiria ndio unaokupa mateso chief
Kama yapi mkuu uliza tuHao nyani ni hawa wa sasa ?
Na kama ni wa sasa kuna maswali mengi zaidi hapa.