Uzi maalum kwa wale wanaopinga uwepo wa Mungu

Ndio huyu aliye eleza evolution of man from apes..

Inashangaza mtu yupo tayari kuamini kwamba tulievolve kutoka kwa apes.. Lakini mtu huyo huyo anakuwa ngumu kuamini kuna Mungu ambaye amecreate mtu kwa sura na mfano wake.. like what is easy to belief i originate from ape or from God

Namimi naomba ukamsome watchman nee The spiritual man..
Theory ya evolution imethibitishwa kisayansi, ila creationism haijathibitishwa mpka Leo.
Na kwann wewe ni rahs kuamin tumeumbwa kwa udongo, unaamini kabisa ilo linawezekana kwa logic?
Kama mwanadamu aliumbwa na Mungu kwann Kuna wazungu, waafrica, wachina, waarabu, wasomali n.k ?
 
kwanini unasema Dunia ilikwepo ipo na itaendelea kuwepo,
Kwa sababu Dunia haijawahi kuumbwa.
mbona hiyo ni concept ya theist kum describe Mungu "alikwepo yupo na Ataendelea kuwepo"
Aliyekwambia hii concept ni ya Theists tu, ni nani?

Au unadhani kwamba hii concept haiwezi ku apply kwenye Dunia?
kwasababu ni highest power beyond human understanding,
Ulijuaje na unathibitishaje Mungu ni highest power beyond understanding?

Au unafosi tu mawazo yako?
ila wewe unasema "ni simple logic Dunia iliwepo tu ipo na itaendelea kuwepo"
hiyo hi simple logic kweli ?, bila sababu yoyote unayotoa unasema hivo na unasema ni simple logic ?
Sababu ni nini?

Unataka sababu gani ujue kwamba hii ni simple logic?

Nilikwambia hivi, 👇

Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na Muumbaji wake, Hata Muumbaji wa kila kitu lazima awe na Muumbaji wake.

Na kama si lazima kila kitu kiwe na Muumbaji wake, Hata Dunia haihitaji iwe na Muumbaji.

Usicho elewa ni nini?

Au unataka sababu gani zaidi?
Theists tukisema Mungu alikwepo yupo na Ataendelea kuwepo Tuna sababu, kwamba, The Highest poWer, beyond everything
Utasemaje Mungu ni highest power beyond everything, ilhali haujaweza hata kumthibitisha kwamba yupo?

Dunia ipo na inaonekana na kuthibitishika ipo,

Na hakuna wakati wowote ule ambapo dunia haikuwepo kisha ikawepo.

Kila mtu amezaliwa ndani ya dunia na kuikuta tayari ipo.
cha ajabu nyie mmeiba hiyo concept alafu mnapingana na sababu,
Tumeiba kutoka wapi?
mnaishia kusema dunia ilikwepo tuu, how ?
Huyo Mungu alikuwepo tu how?
how kila kitu kimekua designed kwa ubunifu wa hali ya juu hivi ku support life for millions of years.
Hakuna kitu kilichokuwa designed.

Vitu vyote vipo vyenyewe tu bila kuwa designed.

Hakuna ulazima wa kwamba kila kitu kimekuwa designed.

Ila kama ulazima huo upo, Hata huyo Designer wa kila kitu lazima awe Designed.

Na kama ulazima huo haupo, Hata vitu Havihitaji kuwa designed na designer.
alafu wewe unasema kwamba "ni simpe logic, ilikwepo tuu"
Ndio dunia ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo.

Kama haiwezekani dunia kuwepo tu yenyewe, Hata huyo Mungu haiwezekani awepo tu mwenyewe.

Una elewa hilo?
 
umenikumbusha shuleni tulipo kua tunasoma, kuna msichana alikua akipatwa na hali yake fulani, lazima mtoke wote darasani maana yake ni "kivumbi leo",

anaweza akakurushia dawati, baada ya muda anazimia,
aliombewa na hiyo hali ikawa haijirudii,

Sayansi inaogeleaje hili, ? ni ugonjwa gani,

it seems kuna power nyingi tu beyond human understanding,

and there is the Highest Power, above all, which made everything,
Dah unaamini Hadi majini, mbna we huyapati, au mbna mm ambae siamin Mungu siyapati?
Science imethibitisha hayo mambo mtu ku act kama ana mapepo ni ugonjwa wa akili ..
Fanya research kaka
 
umenikumbusha shuleni tulipo kua tunasoma, kuna msichana alikua akipatwa na hali yake fulani, lazima mtoke wote darasani maana yake ni "kivumbi leo",

anaweza akakurushia dawati, baada ya muda anazimia,
aliombewa na hiyo hali ikawa haijirudii,

Sayansi inaogeleaje hili, ? ni ugonjwa gani,

it seems kuna power nyingi tu beyond human understanding,

and there is the Highest Power, above all, which made everything,
watuambie basi hiyo power ni ipi maana it seems wao wako right
 
Sodoma na gomora ipo scientific proven.. na mambo mengine mengi huoni kama kuna kitu hakija kaa sawa..
Kaka mi ni mtu ninae Fanya research, hapo unataka kanidanganya sodoma na gomora zimekuwa proved na wanahistoria, lakn si kwel.
Hakuna mwanahistoria aliyopota ushahidi kuwa kulikuwa na sodoma na gomora, hizo ni stori tu za uongo za wakristo na waislam.
 
Kwa sababu Dunia haijawahi kuumbwa.

Aliyekwambia hii concept ni ya Theists tu, ni nani?

Au unadhani kwamba hii concept haiwezi ku apply kwenye Dunia?

Ulijuaje na unathibitishaje Mungu ni highest power beyond understanding?

Au unafosi tu mawazo yako?

Sababu ni nini?

Unataka sababu gani ujue kwamba hii ni simple logic?

Nilikwambia hivi, 👇

Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na Muumbaji wake, Hata Muumbaji wa kila kitu lazima awe na Muumbaji wake.

Na kama si lazima kila kitu kiwe na Muumbaji wake, Hata Dunia haihitaji iwe na Muumbaji.

Usicho elewa ni nini?

Au unataka sababu gani zaidi?

Utasemaje Mungu ni highest power beyond everything, ilhali haujaweza hata kumthibitisha kwamba yupo?

Dunia ipo na inaonekana na kuthibitishika ipo,

Na hakuna wakati wowote ule ambapo dunia haikuwepo kisha ikawepo.

Kila mtu amezaliwa ndani ya dunia na kuikuta tayari ipo.

Tumeiba kutoka wapi?

Huyo Mungu alikuwepo tu how?

Hakuna kitu kilichokuwa designed.

Vitu vyote vipo vyenyewe tu bila kuwa designed.

Hakuna ulazima wa kwamba kila kitu kimekuwa designed.

Ila kama ulazima huo upo, Hata huyo Designer wa kila kitu lazima awe Designed.

Na kama ulazima huo haupo, Hata vitu Havihitaji kuwa designed na designer.

Ndio dunia ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo.

Kama haiwezekani dunia kuwepo tu yenyewe, Hata huyo Mungu haiwezekani awepo tu mwenyewe.

Una elewa hilo?
bado unazunguka bila kutoa sababu,
inawezekanaje Dunia iwepo tuu...

Theists tuna sababu tukisema Mungu alikwepo tu hajaumbwa na Ataendelea kuwepo tuu.

Atheists mna sababu ipi ya ku-support kwamba kitu kina weza kuwepo tuu bila sababu, je hii ni hali ya kawaida ?,

hata kama unasema dunia ilikwepo tuu
je hiyo ni hali ya kawaida kwamba kitu kiwepo tuu ?

kama sio kitu cha kawaida unakiekezeaje simply kwa kusema ni simple Logic na hamna extraordinary power beyond everything beyond human understanding ?
 
Mthibitishe uyo Mungu yupo
 
Theory ya evolution imethibitishwa kisayansi, ila creationism haijathibitishwa mpka Leo.
Na kwann wewe ni rahs kuamin tumeumbwa kwa udongo, unaamini kabisa ilo linawezekana kwa logic?
Kama mwanadamu aliumbwa na Mungu kwann Kuna wazungu, waafrica, wachina, waarabu, wasomali n.k ?
swali hapa ni kwamba asili yetu imetoka wapi? Ukajibu evolution sasa hiyo logic unayoizungumzia inawezekana kukawa na apes aina mbali mbali inashindika kuwa na aina tofauti ya utaifa..

Logic haiwezi kujibu imani..

Imani Waebrania 11:1.
1. Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana.

Ukishaweza kuwa na imani kama ilivyoelezwa hapo juu na majibu ya asili ya mwanadamu utayapata..
 
Inashindikana, sababu kama mnadai binadamu ametoka kwa baba na mama mmoja, yani Adam na Eva, kwann Kuna watu weusi, wengine wazungu wengine waarabu, wachina n.k,?
 
Uthibisho ni uwepo wako, hauendi service, unapumua hujui hiyo hewa inatoka wapi na kwanini haishi, unatembea, function za mwili wako zinavyotenda kazi.. ni uthibisho gani unataka ndugu..
Sasa hapo ndo umethibitisha nn, maana kupumua, napumua hewa ya oxygen, kutembea ni kwasababu nna miguu, Mungu anaingiaje hapo .
We nithibitishie uyo Mungu unaesema yupo
 
Inashindikana, sababu kama mnadai binadamu ametoka kwa baba na mama mmoja, yani Adam na Eva, kwann Kuna watu weusi, wengine wazungu wengine waarabu, wachina n.k,?
Hamuingiliani? Watoto wote mfano kama umezaliwa na baba yako na mama yako mpo wengi asilimia yote copyright mnafanana na baba na mama.. tuseme hii dunia ina umri wa billion 1 tuseme toka adamu na hawa wameumbwa tutabaki na sura ile ile ya adamu na hawa mpaka leo.. ila huwezi kielewa kwasababu hujasoma hicho unachoita uogo
 
N
Sasa hapo ndo umethibitisha nn, maana kupumua, napumua hewa ya oxygen, kutembea ni kwasababu nna miguu, Mungu anaingiaje hapo .
We nithibitishie uyo Mungu unaesema yupo
Nimethibisha kwa uwepo wako ni ushahidi kwamba Mungu yupo.. Movement na Uhai wako untosha kuelezea kwamba Mungu yupo.. unapolala unaamka hutegemei kwamba kwasababu nimekula nimeshiba nitaamka asubuhi.. unategemea pumzi( ambao ni uhai) sio hewa.. Kumbuka hiyo pumzi ambao ni uhai mpaka leo hajawezwa kuwekwa kwa mtu aliyetegenezwa na mwanadamu
 
Hapo unakuwa umeshindwa kuthibitisha Mungu yupo
 
Back
Top Bottom