Tuthibitishie uwepo wake, usiishie kusema yupo wakati hayupo, tuthibitishie uwepo wakeje umetumia njia gani kuhitimisha kua vilikwepo tu,
mimi nimeelezea ni kwanini Mungu alikwepo tu, Yupo na Ataendelea kuwepo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuthibitishie uwepo wake, usiishie kusema yupo wakati hayupo, tuthibitishie uwepo wakeje umetumia njia gani kuhitimisha kua vilikwepo tu,
mimi nimeelezea ni kwanini Mungu alikwepo tu, Yupo na Ataendelea kuwepo
Halina maana yeyote katika uhalisia.Lina maana gani?
Biblia ipi haimtaji shetani katika agano la kale ayubu ule ugonjwa wa mapele alipewa na Nani? na hicho kitabu cha ayubu ni kinapatikana katika agano lipi kwny Bible?Kama Mungu angekuwepo, kusengukuwepo Shetani, Mungu muweza wa yote na mjuvi wa vyote alimuumba vipi Shetani? Utagundua concept ya Shetani ilikopiwa na wakristo kutoka katika dini za dualism ambapo huwa Kuna miungu wawili, mmoja wa wema mwingine wa mabaya... Hii ilifanyika baada ya watu kuwa wanjiulza kama Mungu yupo kwanini Kuna mema na mabaya, ndo ukristo ukaanzisha iyo concept ya Shetani baadae, na ndo maana kwenye agano la kale hakuna sehemu Shetani ametajwa, alikuja kutajwa kwenye agano jipya kwenye biblia
Logic.je umetumia njia gani kuhitimisha kua vilikwepo tu,
Pia mimi nilikueleza,mimi nimeelezea ni kwanini Mungu alikwepo tu, Yupo na Ataendelea kuwepo
Hahaha, hakuna sehemu kwenye agano la kale ametajwa shetani, ngoja nikupe elimu, chanzo Cha dini ya ukristo n dini ya Judaism. Kwenye Judaism hakuna Imani juu ya Shetani kama ambavyo ameandikwa kwenye biblia.Biblia ipi haimtaji shetani katika agano la kale ayubu ule ugonjwa wa mapele alipewa na Nani? na hicho kitabu cha ayubu ni kinapatikana katika agano lipi kwny Bible?
kwanini unasema Dunia ilikwepo ipo na itaendelea kuwepo,Logic.
Pia mimi nilikueleza,
Hata Dunia ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo.
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe kimeumbwa, Hata Muumbaji wa kila kitu lazima awe ameumbwa.
Na kama Si lazima kila kitu kilichopo kiwe kimeumbwa, Hata Dunia haihitaji iwe imeumbwa.
As simple as that.
Simple logic tu.
Unasema Mungu yupo? Tuthibitishie baskwanini unasema Dunia ilikwepo ipo na itaendelea kuwepo,
mbona hiyo ni concept ya theist kum describe Mungu "alikwepo yupo na Ataendelea kuwepo"
kwasababu ni highest power beyond human understanding,
ila wewe unasema "ni simple logic Dunia iliwepo tu ipo na itaendelea kuwepo"
hiyo hi simple logic kweli ?, bila sababu yoyote unayotoa unasema hivo na unasema ni simple logic ?
Theists tukisema Mungu alikwepo yupo na Ataendelea kuwepo Tuna sababu, kwamba, The Highest poWer, beyond everything
cha ajabu nyie mmeiba hiyo concept alafu mnapingana na sababu,
mnaishia kusema dunia ilikwepo tuu, how ?
how kila kitu kimekua designed kwa ubunifu wa hali ya juu hivi ku support life for millions of years.
alafu wewe unasema kwamba "ni simpe logic, ilikwepo tuu"
wengine achana nao tu itafika hatua ataelewa/ ataona mwenyewehaujaelewa concept nzima we jamaa,
rudia kusoma tena bandiko lote.
"Soma kwa hatua"
nikisha kwambia usome post #1Unasema Mungu yupo? Tuthibitishie bas
Kaka umeanza Imani za uongo za kina mwamposa, tb Joshua, kakobe n.k?Mimi naomba kuuliza asili ya mtu inatoka wapi? Ametokeaje mpaka tumefika vizao vyetu maana lazima kiwe na chanzo.. tuseme kwamba mwanadamu haamini kama kuna Mungu.. na mbona aina yetu wanadamu haipo katika sayari nyingine.. maana tunajiconcider superior kutokana na maendeleo tuliyo nayo au kama kuna aina nyingine humo kwenye sayari nyingine ambayo ina maendeleo kama yetu please wanasayansi wetu naomba mnifahamishe.. mpaka leo sisi ambao ni binadamu wabunifu hatujaweza kuleta toleo letu wenyewe yaani kujitengeneza kama tulivyo tukatia pumzi..
Ni katika imani pekee mtu aliyekufa anafufuka.. ni katika imani mtu aliyezaliwa kiziwe,kiwete,kipofu, ukimwi, cancer vinapona mtu ambaye amekuwa scientific proven kwamba hataweza kupona akapona.. sasa naomba kuelewesha.. hapo kuna kuwa na force gani nyingine inayosababisha hivyo vitokee..
Hapa ndipo watu wanakosea.. unapoabudu dini.. ndio dini inatumia nguvu dini inataka jitihada dini inaleta hofu na inachosha inachotakiwa ni kuamini Mungu na kujua Mungu anategemea au anataka nini kwenye maisha yako..The force behind all power is energy. Kuna sababu milioni ambazo huitaji kuwa na degree kutambua kuwa kuna chanzo cha sababu ya kuwepo kwa ulimwengu huu.
Miti, mabonde na milima. Viumbe hai, wanyama na binadamu. Viumbe wa majini nk. Kuna sababu. Na hii sababu ndio tunaiita MUNGU.
Lakini. dini ndio imekuwa sababu kubwa ya kufanya watu wawe na mashaka haswa kwa aina ya mafundisho tunayopewa.
Mungu yupo. Ila dini ni mzigo.
Ukitaka kujua asili ya mwanadamu soma kitabu Cha " on the origin of species" Cha Charles Darwin ameelezea vizuri...Mimi naomba kuuliza asili ya mtu inatoka wapi? Ametokeaje mpaka tumefika vizao vyetu maana lazima kiwe na chanzo.. tuseme kwamba mwanadamu haamini kama kuna Mungu.. na mbona aina yetu wanadamu haipo katika sayari nyingine.. maana tunajiconcider superior kutokana na maendeleo tuliyo nayo au kama kuna aina nyingine humo kwenye sayari nyingine ambayo ina maendeleo kama yetu please wanasayansi wetu naomba mnifahamishe.. mpaka leo sisi ambao ni binadamu wabunifu hatujaweza kuleta toleo letu wenyewe yaani kujitengeneza kama tulivyo tukatia pumzi..
Ni katika imani pekee mtu aliyekufa anafufuka.. ni katika imani mtu aliyezaliwa kiziwe,kiwete,kipofu, ukimwi, cancer vinapona mtu ambaye amekuwa scientific proven kwamba hataweza kupona akapona.. sasa naomba kuelewesha.. hapo kuna kuwa na force gani nyingine inayosababisha hivyo vitokee..
Haya ambayo nayaandika sijasikia kwa mtu nimeyashuhudia kwa macho yangu.. jana tu nimeona kijana mdogo aliyekuwa anasota kwa matako akitembea mind you sio mtu labda anatoka sehemu nyingine .. ninaishi nae mtaa moja na ni muislamu safii..Kaka umeanza Imani za uongo za kina mwamposa, tb Joshua, kakobe n.k?
Nani kakudanganya ukimwi, cancer, ulemavu vinapona kwa maombi, ingekuwa Ivo hao wanaoenda kuombewa s wangepona hayo magonjwa yao?
Hawaponi sababu Mungu wanayemuomba hayupo.
Hata wewe najua unaomba sana, na maombi Yako hayajibiwi, kwann? Kwa sababu Mungu hayupo.
Huu ni uongo kaka, izo drama za kina mwamposa zitawamalzia hela, maombi hayawezi kuondoa ulemavu Wala kutibu ukimwi Wala kutibu cancer, na yote n kwa sababu Mungu hayupo.Haya ambayo nayaandika sijasikia kwa mtu nimeyashuhudia kwa macho yangu.. jana tu nimeona kijana mdogo aliyekuwa anasota kwa matako akitembea mind you sio mtu labda anatoka sehemu nyingine .. ninaishi nae mtaa moja na ni muislamu safii..
Sitashangaa ukibisha imani sio jambo dogo.. kuamini/kutarajia kitu kisichooneka na kuamini kipo.. inachukua uziada mwingine.. lakini imani inatumika karibu kila siku na kila mtu na kila mahali.. unachagua wewe tu unachaamua kuamini..
Ndio huyu aliye eleza evolution of man from apes..Ukitaka kujua asili ya mwanadamu soma kitabu Cha " on the origin of species" Cha Charles Darwin ameelezea vizuri...
Ukisoma kwenye biblia hakuna ukwel wowote utaupata
Sodoma na gomora ipo scientific proven.. na mambo mengine mengi huoni kama kuna kitu hakija kaa sawa..Ukitaka kujua asili ya mwanadamu soma kitabu Cha " on the origin of species" Cha Charles Darwin ameelezea vizuri...
Ukisoma kwenye biblia hakuna ukwel wowote utaupata
umenikumbusha shuleni tulipo kua tunasoma, kuna msichana alikua akipatwa na hali yake fulani, lazima mtoke wote darasani maana yake ni "kivumbi leo",Mimi naomba kuuliza asili ya mtu inatoka wapi? Ametokeaje mpaka tumefika vizao vyetu maana lazima kiwe na chanzo.. tuseme kwamba mwanadamu haamini kama kuna Mungu.. na mbona aina yetu wanadamu haipo katika sayari nyingine.. maana tunajiconcider superior kutokana na maendeleo tuliyo nayo au kama kuna aina nyingine humo kwenye sayari nyingine ambayo ina maendeleo kama yetu please wanasayansi wetu naomba mnifahamishe.. mpaka leo sisi ambao ni binadamu wabunifu hatujaweza kuleta toleo letu wenyewe yaani kujitengeneza kama tulivyo tukatia pumzi..
Ni katika imani pekee mtu aliyekufa anafufuka.. ni katika imani mtu aliyezaliwa kiziwe,kiwete,kipofu, ukimwi, cancer vinapona mtu ambaye amekuwa scientific proven kwamba hataweza kupona akapona.. sasa naomba kuelewesha.. hapo kuna kuwa na force gani nyingine inayosababisha hivyo vitokee..