kwanini unasema Dunia ilikwepo ipo na itaendelea kuwepo,
Kwa sababu Dunia haijawahi kuumbwa.
mbona hiyo ni concept ya theist kum describe Mungu "alikwepo yupo na Ataendelea kuwepo"
Aliyekwambia hii concept ni ya Theists tu, ni nani?
Au unadhani kwamba hii concept haiwezi ku apply kwenye Dunia?
kwasababu ni highest power beyond human understanding,
Ulijuaje na unathibitishaje Mungu ni highest power beyond understanding?
Au unafosi tu mawazo yako?
ila wewe unasema "ni simple logic Dunia iliwepo tu ipo na itaendelea kuwepo"
hiyo hi simple logic kweli ?, bila sababu yoyote unayotoa unasema hivo na unasema ni simple logic ?
Sababu ni nini?
Unataka sababu gani ujue kwamba hii ni simple logic?
Nilikwambia hivi, 👇
Kama kila kitu kilichopo lazima kiwe na Muumbaji wake, Hata Muumbaji wa kila kitu lazima awe na Muumbaji wake.
Na kama si lazima kila kitu kiwe na Muumbaji wake, Hata Dunia haihitaji iwe na Muumbaji.
Usicho elewa ni nini?
Au unataka sababu gani zaidi?
Theists tukisema Mungu alikwepo yupo na Ataendelea kuwepo Tuna sababu, kwamba, The Highest poWer, beyond everything
Utasemaje Mungu ni highest power beyond everything, ilhali haujaweza hata kumthibitisha kwamba yupo?
Dunia ipo na inaonekana na kuthibitishika ipo,
Na hakuna wakati wowote ule ambapo dunia haikuwepo kisha ikawepo.
Kila mtu amezaliwa ndani ya dunia na kuikuta tayari ipo.
cha ajabu nyie mmeiba hiyo concept alafu mnapingana na sababu,
Tumeiba kutoka wapi?
mnaishia kusema dunia ilikwepo tuu, how ?
Huyo Mungu alikuwepo tu how?
how kila kitu kimekua designed kwa ubunifu wa hali ya juu hivi ku support life for millions of years.
Hakuna kitu kilichokuwa designed.
Vitu vyote vipo vyenyewe tu bila kuwa designed.
Hakuna ulazima wa kwamba kila kitu kimekuwa designed.
Ila kama ulazima huo upo, Hata huyo Designer wa kila kitu lazima awe Designed.
Na kama ulazima huo haupo, Hata vitu Havihitaji kuwa designed na designer.
alafu wewe unasema kwamba "ni simpe logic, ilikwepo tuu"
Ndio dunia ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo.
Kama haiwezekani dunia kuwepo tu yenyewe, Hata huyo Mungu haiwezekani awepo tu mwenyewe.
Una elewa hilo?