okay tutumie jina hilihilo Nature naona tumeanza kuongea luga moja,
unajua kwanini ukiwa arround nature
kwa kuona tu na kusikia sauti zake mfano, mawimbi ya maji, mvua inavyo anguka chini, upepo unavyopuliza msituni pamoja na sauti za ndege wa msituni,
unajua kawanini unakua very relaxed
yaani kwankuona tu mawimbi ya bahari yanavyo kuja na kuondoka ufukweni pamija na sauti yake,
theist tumeenda mbali zaidi tunaajua its possible to connect na hiyo Extraordinary power ambayo ndo source of everything,
ndo linakuja swala la Meditation, Prayer, etc
na njia mbalimbali za ku connect maana na sisi ni part ya nature