Uzi maalum kwa wale wanaopinga uwepo wa Mungu

Ndio ninao ushahidi. Niko nae kila siku. Kama hapo ulipo hujawahi muona karibu kwangu utathibitisha uwepo wake.
Umeanza siasa Sasa, we mwenyewe unajua icho unachosema si kweli Bali siasa tu
 
Namaanisha, Kuna wanaoamini, wanaweza kumchinja mtu na kusema wametumwa na Mungu kufanya Ivo, au wakajilipua... Kwa wakristo mnafurahia wapalestina wakiuawa huwa mnamaanisha nini?
Mimi sihusiki na hayo mambo, kila mtu yupo responsible kwa actions zake
 
Ndio maana nilikwambia extra ordinary power ni nature.

Ulichofanya wewe nikubalisha jina tu na kuiita hiyo nature Mungu.

That's why nilisema hapo juu Mungu ni jina tu

Pia hapohapo utakuwa umekubaliana na uwepo wa "Nature" regardless ya jina gani unalotumia kuiita hiyo nature.

Ukiamua kuiita hiyo Nature, Mungu God, Allah n.k vyovyote vile point inabaki palepale kwenye nature.

Hivyo Mungu ni jina tu.
okay tutumie jina hilihilo Nature naona tumeanza kuongea luga moja,

unajua kwanini ukiwa arround nature
kwa kuona tu na kusikia sauti zake mfano, mawimbi ya maji, mvua inavyo anguka chini, upepo unavyopuliza msituni pamoja na sauti za ndege wa msituni,

unajua kawanini unakua very relaxed
yaani kwankuona tu mawimbi ya bahari yanavyo kuja na kuondoka ufukweni pamija na sauti yake,

theist tumeenda mbali zaidi tunaajua its possible to connect na hiyo Extraordinary power ambayo ndo source of everything,

ndo linakuja swala la Meditation, Prayer, etc

na njia mbalimbali za ku connect maana na sisi ni part ya nature
 
Sasa izo Sheria za kutokufanya kazi jumamosi, kutokula nguruwe au kutotakiwa kunywa bia mnazitoa wapi?
 
Yeah pia sisi ni part of nature na kila kitu ni nature.

We cannot solve the ultimate mysteries of nature because we ourselves are the part of the mysteries we are trying to solve.

Hatuwezi kujua tusivyo vijua ila tunaendelea kupunguza tusivyo vijua kwa utafiti, uchunguzi na udadisi zaidi.
 
Sasa izo Sheria za kutokufanya kazi jumamosi, kutokula nguruwe au kutotakiwa kunywa bia mnazitoa wapi?
kila dini ina njia zake na traditions zake,

hapo umeingia specific kwenye dini fulani nadhani umewagusa SDA moja kwa moja
 
Haya mambo nilikuwa nadili nayo kipindi hicho, ila baada ya kukua na kuona uhalisia wa maisha. Wala sisumbui akili juu ya mambo ya uwepo au kutokuwepo kwa mungu. Nimeacha kujali baada ya kugundua kwamba nothing truly matters.
 
Binadamu pia limit ya akili yetu ina limit inapoishia

Mfano ndo unakutana na Mtu anayesema "Mungu Hayupo kwasababu Huwezi kumuona wala kumgusa wala kusikia sauti yake"

Point yako ni nini hapa?
Wewe unaamini uwepo wa mungu?

Kwamba unataka kusema wewe unayeamini uwepo wa mungu upo sahihi na yule asiyeamini hayupo sahihi?
Lakini hapohapo unasema "Akili ya binadamu ina limit." Kama ni hivyo then wewe una uhakika gani na unajuaje kwamba upo sahihi?
 
“Tunamuachia Mungu.” Ukielewa hii kauli hutokea wakati gani. Nayo pia inaweza kukusaidia kuelewa uwepo wa Mungu kwa kuzingatia alichokileta mtoa mada.
 
okay tutumie jina hilihilo Nature naona tumeanza kuongea luga moja,

unajua kwanini ukiwa arround nature
kwa kuona tu na kusikia sauti zake mfano, mawimbi ya maji, mvua inavyo anguka chini, upepo unavyopuliza msituni pamoja na sauti za ndege wa msituni,

unajua kawanini unakua very relaxed
yaani kwankuona tu mawimbi ya bahari yanavyo kuja na kuondoka ufukweni pamija na sauti yake,

theist tumeenda mbali zaidi tunaajua its possible to connect na hiyo Extraordinary power ambayo ndo source of everything,

ndo linakuja swala la Meditation, Prayer, etc

na njia mbalimbali za ku connect maana na sisi ni part ya nature
Tatizo theists mnaichukulia nature, kama ni kitu kinachojitambua kama sisi au chenye akili kama sisi wakati sio kweli.
Hiyo nature haijali umekula nn, umevaa nini, au umempigia nani kura, Wala sio kitu kinachojua kila ktu kinachotuhusu yani Hadi kujua kesho tutafanya nn, Wala haina siku ya hukumu Wala haina taifa teule. Ayo yote tumeyatunga binadamu kwa imagination zetu.
 
We mwenyewe unajua ni kitu kisichowezekana, kubali tu ukwel kuwa hakuna Mungu, maisha mengine yaendelee
Mimi najua yupo, nimemuona na nimethibitisha.
Usinilazimishe nikubaliane na mawazo yako yaliyoshindwa kumthibitisha kwa sababu ya mzigo wa dhambi ulionao. Zaburi 14:1
 
Tatizo theists mnaichukulia nature, kama ni kitu kinachojitambua kama sisi au chenye akili kama sisi wakati sio kweli.
Hiyo nature haijali umekula nn, umevaa nini, au umempigia nani kura, Wala sio kitu kinachojua kila ktu kinachotuhusu yani Hadi kujua kesho tutafanya nn, Wala haina siku ya hukumu Wala haina taifa teule. Ayo yote tumeyatunga binadamu kwa imagination zetu.
wewe labda haujui unachoongea kwaiyo unajiona una akili sana au unajielewa sana,

uelewa wako na consciousness yako imetoka wapi ?
 
Najua ninachokiongea, hizo dini zote ni stori tu za kutungwa na binadamu kama sisi.
Na ndo maana hata nyie mnaoamini Mungu, hamziamini.. kwa mfano we kama mkristo najua hauamini mafundisho ya kiislam na Quran na unajua kabisa ni uongo, Muislam nae Ivo Ivo anajua mafundisho ya Kihindu ni ya uongo, myahudi nae anaamini Imani ya kikristo ya yesu ni stori tu za uongo.
Ko hata nyie Theists mnajua kabisa hizi dini ni stori tu za uongo.
 
huu uzi hauongelei Dini, hiyo ni mada nyingine, alafu ukitaka kujadili dini ki ufasaha ni lazima ujikite kwenye dini moja ndo uichambue,

maana kila dini ina historia yake, kuna traditions nyingi zinatofautiana,
na mambo mengi,

sasa wew kurukia mara ume chukua hii kwenye Uislam, mara hii kwenye ukristo, mara hiki unachukua kwa wanaosali jumamosi،

inaonyesha ukosefu mkubwa wa akili na hujui hasa una lenga nini zaidi ya kubishana.

all in all dini zote ni njia tu ya kumfikia Mungu, na zilikuja baadae sana,

ndo maana ukitaka kujua uwepo wa Mungu si lazima utafute References kwenye maandiko
Uwepo wa Mungu is Self evident

kwanini kila mara hoja zako zinajikita kwenye dini alili yako ni Finyu au una uelewa Mdogo sana kuhusu Mungu
 
Back
Top Bottom