Na uyo Mungu aliumbwa na nani? Kama hakuumbwa basi hata Dunia pia haikuumbwa, Ilikuwepo tu.nilishatoa mfano nikasema umekuta nyumba inajengwa umekuta na vifaa hapo ila hujakuta mafundi, au huwaoni hapo,
Je jengo na vifaa vyao sio uthibitisho kua mafundi wapo arround ?
tumeikuta dunia na mechanisim zake zinazoendelea kiasi cha kufanya uhai uendelee kiwepo.
hii sio uthibitisho wa nguvu iliyofanya viwepo hapo, elewa kwa mantiki hiyo
the highest power source of everything, Mungu
je wewe unachaguaje upande tu wa kusema default ni hayupo kwasababu humuoni ?