Uzi maalum kwa wale wanaopinga uwepo wa Mungu

😄😄Mkuu umeua kabisa.

Yani umeweka full package ya Ma Mungu ambao kila mtu anadai wa kwake tu ndio wa ukweli.

😂😂
 
Kutojua kwake haimpi mwarabu au mzungu kumtungia story na aiamini kwa vitisho vya kifo na moto. Story ambazo mara kibao zimekosolewa kwa kukosa ukweli na mantiki. Hakuna kitabu Cha dini hata kimoja kilichoongea ukweli kuhusu historia ya ulimwengu zaidi ya kuotea otea hapa na pale.
We toa Sababu za msingi.. theologians wenzetu huko mambele wanatoa Sababu za msingi mambo ya universal constants, mambo ya forces of nature.. we unakaa kuongelea shahawa as if hujasoma sayansi ya grade 6...
 
Akikujibu nistue
 
Mimi ndo najuwa kama kuna paka kwenye imaginary box, wewe hujuwi, na kwasababu hujuwi kama kuna paka huwezi kufikia conclusion kuwa paka hayupo just because umeshindwa kuthibitisha kama yupo
 
Bac usiseme yupo mpaka tuprove yupo... Nikikuambia Nina Ferrari utataka ulione.. nikianza kukuambia hoo sio lazma ulione unajuaje Sina ..tulia ufe ulione.. utaanza kuniona chizi ..
Ndo unavyoonekana asa
And there comes logic, huenda umekutia kati
Tuna argument mbili, moja! Kuna Mungu na nyingine hakuna.
Till now hakuna aliyeweza kuprove madai yake in this case tunajaribu kuweka simple logics tuone which one makes sense
Wewe ukiniambia una ferrari ntaanza kuchek possibilities za wewd kuwa na Ferrari, sihitaji kuona ili niamini kama unalo as long what you say makes sense
 
Mimi ndo najuwa kama kuna paka kwenye imaginary box, wewe hujuwi, na kwasababu hujuwi kama kuna paka huwezi kufikia conclusion kuwa paka hayupo just because umeshindwa kuthibitisha kama yupo
Sasa kama unajua Mungu yupo mthibitishe yupo!

Mimi sijui huyo Mungu kama yupo, ndio maana nasema hayupo na wala sidai kwamba yupo.

Maana siwezi kumthibitisha kama yupo.

Sasa wewe nithibitishie huyo Mungu unayejua yupo, na mimi niweze kumjua yupo kwa uthibitisho.

Kama huwezi kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu unayedai na kusema yupo, Ni kwamba hayupo.
 
Hizo Imani zote sijui za kumuomba MUNGU au mizimu zote hizo mtu HAZALIWI NAZO anazipokea ktk jamii na familia kupitia dini . Sizani kama Kuna kiumbe kilizaliwa kina MUNGU ndani yake Bali atafata Imani ,dini , Mungu aliyemkuta na kufundishwa kuhusu yy ktk jamii flani. Mfano nenda kazalie mtoto India afu akiwa anakuwa afuate dini ya uhindu , mpka akiwa mtu mzima atampigania na kuamini mungu wake Vishnu na krishna. Kila sehemu Wana MUNGU wao ndomana India wamekataza waislam kuingia uko mana wanaharibu utaratibu wao wa kiimani kumuabudu mungu Vishnu na krishna miungu ya mababu zao na Wala sio Allah. Mhindi tangu kuzaliwa anaamini mungu wake ni Vishnu na krishna, na ww uliyezaliwa Tanzania unaamini MUNGU wako ni Jehovah au wengine Allah.
 
Lilivyothibitishwa sikuwepo, naomba unithibishie Ili na Mimi niache kuwa Atheist kaka.. nahtaj uthibitisho tu kuwa Mungu yupo Ili niache kuwa Atheist
 
Mimi ndo najuwa kama kuna paka kwenye imaginary box, wewe hujuwi, na kwasababu hujuwi kama kuna paka huwezi kufikia conclusion kuwa paka hayupo just because umeshindwa kuthibitisha kama yupo
Sasa wewe unayejua ndio mwenye jukumu la kuthibitisha huyo paka yupo na sio kumwambia mwingine athibitishe paka hayupo.

Kusema paka hayupo katika mazingira ambayo hakuna ushahidi wa kuwepo huyo paka, hiyo ni default position.

Unless wewe unayeona yupo ndio uthibitishe kivipi yupo na kwanini mimi simuoni.

Ulichokizungumza wewe kipo katika madai.

Kumbuka What is claimed without evidence can be dismissed without evidence.
 
Mimi nilishatoa a very simple logic inayonifanya niamini uwepo wa Mungu, pitia juu utaona
Nilitaka kujuwa pia how did you conclude kama hayupo, just because umeshindwa kupata uthibitisho kama yupo(ambao hukutafuta) doesn't mean kuwa hayupo
 
Very poor logic ni kuclaim paka hayupo na wakati hujuwi kama yupo, alafu usikaze kichwa eti wewe unayejuwa ndo uproove kama yupo, kwani mi ntakuwepo mara zote watu wanavyoargue uwepo wa paka kwenye box?
Tumia ubongo kufikilia
 
Kwanza nashukuru wa kumjibia kuwa hajui alikotokea yeye na kizazi Cha kabla yake Yani amejikuta tu yupo hapa Duniani na kuandika andika utumbo humu Jf

Sasa mtu ambaye hata yeye mwenyewe hajijui ilikuwaje Hadi Leo hii yupo hapa Duniani ndio atajua uwepo wa Mungu?
Kwa lugha nyepesi huyu mjinga Kwa maana hata yeye mwenyewe hajijui alikotokea

Wewe pia ni mjinga namba 2 maana Nina uhakika na wewe pia haujui ilikuwaje Hadi Leo hii upo hapa Duniani

Unasema huko mbele watu hawaongelei mambo ya shahawa ila wanaongelea mambo ya universe Sasa bila shahawa kuwaleta hapa Duniani hayo mambo ya universe wangeyaongelea wapi?

Tafuteni wajinga wenzenu wakujadiliana nao labda ndio mtaelewana maana mtakuwa wajinga watupu
 
Bac wat are the possibilities za huyu mungu.. especially kwa hio long list ya miungu aliyotuma Scars, wat are the possibility that only one of them na ndo unayemuamini wewe is the real one...na wengine wooote ni WA uwongo
 
Mi kutokujua hakumpi ruhsa binadamu mwenzangu kuamka pangoni na kusema aliyeniumba amemtuma nifanye 123 bila ushahidi wowote. Kama we unaamini yupo Baki nae
 
Very poor logic ni kuclaim paka hayupo na wakati hujuwi kama yupo, alafu usikaze kichwa eti wewe unayejuwa ndo uproove kama yupo, kwani mi ntakuwepo mara zote watu wanavyoargue uwepo wa paka kwenye box?
Tumia ubongo kufikilia
Claim umeileta wewe, mimi nilichofanya ni kusimamia upande ambao ni default.

Ukiniambia kwenye box la kufikirika kuna paka ndani yake, hiyo sio fact ni madai.

Madai yoyote bila uthibitisho yanaweza kupingwa bila uthibitisho.
 
Hoja dhaifu sana hii
 
Mi kutokujua hakumpi ruhsa binadamu mwenzangu kuamka pangoni na kusema aliyeniumba amemtuma nifanye 123 bila ushahidi wowote. Kama we unaamini yupo Baki nae
Mungu alishajifunua Kwa manabii kuwa yupo na ameshafunga huo mjadala Kwa kuweka moto Kwa ajili ya watu wajinga wanao Pinga uwepo wake

Hata Leo hii Mungu akiifunua kwako kuwa yupo na wewe ukashuhudia na ukaamini kuwa yupo miaka 100 baadae watatokea wajinga wengine wengi tu kama wewe na watasema hakuna Mungu

Au unadhani wewe ndio mjinga wa mwisho hapa Duniani kuwa Mungu akiifunua kwako basi tena milele na milele watu wataamini kuwa Mungu yupo

Mungu anawajua vizuri binadamu wajinga ndio maana amewaandalia Moto wa Jahannam
 
Manabii gani hao, binadamu kama wewe tu, kina mwamposa na zumaridi wa enzi izo hahaha
 
Manabii gani hao, binadamu kama wewe tu, kina mwamposa na zumaridi wa enzi izo haha
😂 Waamini Mungu ni wazee wa vitisho, mi ni Atheist ambae huwez nitisha kwa moto, maana najua haupo. Mungu mwenyewe hayupo Sasa uo moto unatokea wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…