Uzi maalum kwa wale wanaopinga uwepo wa Mungu

Uzi maalum kwa wale wanaopinga uwepo wa Mungu

Huoni logics kwenye points kwasababu hujuwi kuhusiana na logics, no wonder ulifikia conclusion kama Mungu hayupo
Lazima ni mention logic coz this is logical argument sio philosophical one. You can only conclude atleast to some percent in this argument by logics not that stupid philosophical thing. Sasa wewe kwenye sehemu kama hii ya kureason unaleta philosophy ni upuuzi
Hivi upo serious au unatania?

Yani ile analogy yako ya paka kwenye box la kufikirika bado unaendelea kusisitiza kuwa ilikuwa ni logic?

Bado una amini ku shift burden of proof kwa kumtaka mtu athibitishe huyo paka hayupo, ilikuwa ni logic?

Aisee
 
kumuamini Mungu umeamua tu, lakini Nina uhakika hujawahi kumuona Wala kumsikia,
Hata hii HEWA ninayoivuta ipo ila sijawahi kuiona ila naihisi tu, Mungu nae namuhisi kama yupo ila sijui kama ni mmoja au mamilioni ya Miungu, kwasababu sasa hivi imejulikana kuwa kuna Universes nyingi na hii tuliyomo ni mojawapotu, wanaita (Multiverse) 👈Theory
 
Hayupo kwababu hakuna udhibitisho wowote usio kuwa na shaka kama yupo au aliwahi kuwepo. Pili vitabu vinavyo aminisha watu kuwa yupo vimeisha dhibika pasipo na shaka kuwa hadithi na na simulizi za kwenye vitabu hivyo hazikutokea na hatazilizo tokea ziliongezewa chuvi. Tatu ukisoma bibilia kwa akili yako mwenyewe bila kuwa na ushawishivwa imani za urithi unaweza ukaona ni kwa namna gani stori na maelekezo ya bibilia yanavyo controdict yenyewe. Kwa mfano soma isaya 45 :1-8. Au soma mwazo 19 na mwamuzi 19 . Halafu rudi hapa . Tatu bibilia kila msitari una tafusiliwa tafauti na kila msomaji. Sasa inakuwa Mungu ambaye anajuwa watu wake vizuri ashindwe kuwaandikia maelekezo yanayo eleweka kiurahisi kwa kila mtu. Imagine wategenezaji wa magari wandike instruction ambazo mafundi na madreva hawawezi kuelewa unafikiri nani angenunuwa hayo magari?
 
images (20).jpeg
 
Ukipinga uwepo wa Mungu au shetani inabidi usiamini katika dhana ya ubaya wa jambo lolote au uzuri wa jambo lolote kwa sababu kama uwepo wa Mungu na shetani ni myth basi kudhani jambo fulani ni baya au zuri ni myth, kudhani kwamba ukiua mtu ni jambo baya hiyo ni upotofu maana sababu inayotufanya tusiuane na kama nikileta sababu zangu za kuua inabidi zikubaliwe na ukipinga hizo ni shida zako sio zangu kwa kuwa siamini kama kuua ni jambo baya regardless sababu au bila sababu
Ndugu mwandishi, utambuzi wa baya na zuri hauna uhusiano wowote wa lazima na nadharia za uwepo wa Mungu. Kuna yale matendo ambayo mtu yeyote hatapenda kufanyiwa kwa sababu yanadhuru mwili wake, uhai wake, mali yake au chochote kinachomuhusu basi jamii hata kama haijawahi kuona andiko lolote la kidini itakubaliana kuwa si sawa kuyafanya. Haya ni mambo kama wizi, mauaji, kumjeruhi mwingine na kadhalika.
 
Na mimi nimeahatoa reasoning zangu, hujaweka zako ukaruka kwenye conclusion hakuna Mungu kisa mimi nliyesema yupo sijaprove huoni kama unamatatizo apo shehe??
You claim to know about logics, weka hapo how did you conclude statement yako kama Mungu hayupo sio hizo story za kijiweni
Hizo reasoning zako ziweke tuzi-verify tuone kama kweli zinathibitisha madai ya Mungu yupo.

Mimi kuthibitisha Mungu hayupo? Hell nah!

Logic inakataa kuthibitisha negative.

Ngoja nikupe mfano.

Nithibishie kuwa hakuna tembo wenye rangi ya zambarau.

Hii ni ngumu, kwasababu utahitajika kusachi kila sehemu ya huu ulimwengu kutafuta kuwa hakuna tembo wenye rangi ya zambarau.

Hata hivyo bado haitatosha kukusaidia kwasababu pengine wakati unawatafuta Korea wakawa wameamishwa Canada au sehemu nyingine.

Kwa hiyo ukija kusema kwamba umezunguka nchi zote kila kona bado kuna huo mwanya wa hao tembo kuweza kuhamishwa sehemu waliyopo na kuenda sehemu uliyotoka ili usiwakute.

Ni ngumu na haiwezekani kuthibitisha tembo wa rangi ya zambarau hawapo kwasababu haiwezekani mtu kufanya direct observation itayoweza ku cover whole earth katika wakati mmoja ili kuweka madai kuwa tembo hao hawapo.
 
Hivi upo serious au unatania?

Yani ile analogy yako ya paka kwenye box la kufikirika bado unaendelea kusisitiza kuwa ilikuwa ni logic?

Bado una amini ku shift burden of proof kwa kumtaka mtu athibitishe huyo paka hayupo, ilikuwa ni logic?

Aisee

smart, I presume you're a man of logic
Let's base on the fact "There's creator for everything".
Let's set two variables Universe, Creator(X)

There's a universe - > creator exists, Creator (X)
There's Creator(X) - > Creator (Y) exists
Let's build the regression
{Universe, Creator(X), Creator(Y), Creator(Z).... inf}
Based on this model we have an infinity regression

Let's add another condition, There's a Creator(X) who existed before everything (Uncaused cause/Prime mover)
From there you can avoid an infinity regression you get from the first logic which exclude uncaused cause. If you think one which end up forming an infinity loop is correct hayo ni matatizo yako binafsi sasa
 
Sasa hivi imethibitishwa kuwa sisi Wanadamu Miti viumbe vyote na Dunia Mwezi pamoja na Jua hili tunalolizunguka tumetokana na Star Dust Vumbi la Nyota kubwa iliyolipuka mabilioni ya miaka iliyopita.
 
Hata hii HEWA ninayoivuta ipo ila sijawahi kuiona ila naihisi tu, Mungu nae namuhisi kama yupo ila sijui kama ni mmoja au mamilioni ya Miungu, kwasababu sasa hivi imejulikana kuwa kuna Universes nyingi na hii tuliyomo ni mojawapotu, wanaita (Multiverse) 👈Theory
Sawa mkuu, ila hewa inaweza kupimwa kwa hivo inaweza kuthibitika. Ila Mungu hawezi kuthibitishwa kwa namna yoyote Ile kaka.
 
Hivi upo serious au unatania?

Yani ile analogy yako ya paka kwenye box la kufikirika bado unaendelea kusisitiza kuwa ilikuwa ni logic?

Bado una amini ku shift burden of proof kwa kumtaka mtu athibitishe huyo paka hayupo, ilikuwa ni logic?

Aisee
Alafu pia, hiyo analogue inatokana na madai yenu mungu hayupo kwasababu waliosema yupo wameshindwa kuthibitisha uwepo wake, inaonesha wewe pia unaimani kama hiyo ya kibubusa huo mfano pia utakufaa.
Mkiwa mna-argue muwe mnakumbuka sio tu unajisahaulisha kuweka vitu vile unavyohisi
 
Sawa mkuu, ila hewa inaweza kupimwa kwa hivo inaweza kuthibitika. Ila Mungu hawezi kuthibitishwa kwa namna yoyote Ile kaka.
Kuna Dark Matter kuna Dark Energy ambazo ziko hapa Duniani na hazipimiki kwa Techolojia iliyopo sasa labda Technolojia ijayo tutaweza kugundua Mungu au Miungu yukoje au ikoje.
 
Ndugu mwandishi, utambuzi wa baya na zuri hauna uhusiano wowote wa lazima na nadharia za uwepo wa Mungu. Kuna yale matendo ambayo mtu yeyote hatapenda kufanyiwa kwa sababu yanadhuru mwili wake, uhai wake, mali yake au chochote kinachomuhusu basi jamii hata kama haijawahi kuona andiko lolote la kidini itakubaliana kuwa si sawa kuyafanya. Haya ni mambo kama wizi, mauaji, kumjeruhi mwingine na kadhalika.
Huko unakokuita kudhuru hakunihusu ikiwa utashi umeamua kufanya hivyo
 
Hizo reasoning zako ziweke tuzi-verify tuone kama kweli zinathibitisha madai ya Mungu yupo.

Mimi kuthibitisha Mungu hayupo? Hell nah!

Logic inakataa kuthibitisha negative.

Ngoja nikupe mfano.

Nithibishie kuwa hakuna tembo wenye rangi ya dhambarau.

Hii ni ngumu, kwasababu utahitajika kusachi kila sehemu ya huu ulimwengu kutafuta kuwa hakuna tembo wenye rangi ya dhambarau.

Hata hivyo bado haitatosha kukusaidia kwasababu pengine wakati unawatafuta Korea wakawa wameamishwa Canada au sehemu nyingine.

Kwa hiyo ukija kusema kwamba umezunguka nchi zote kila kona bado kuna huo mwanya wa hao tembo kuweza kuhamishwa sehemu waliyopo na kuenda sehemu uliyotoka ili usiwakute.

Ni ngumu na haiwezekani kuthibitisha tembo wa rangi ya dhambarau hawapo kwasababu haiwezekani mtu kufanya direct observation itayoweza ku cover whole earth katika wakati mmoja ili kuweka madai kuwa tembo hao hawapo.
Mimi kutomuona tembo wa zambarau haimaanishi kama hayupo,
 
Morality has nothing to do with religion.

Kuna ancient values zilizosamvmbaa ulimwengu kote zilizojulikana kama Golden rule ambazo zilikuwa zikitumika miaka ya zamani kabla ya dini.

Golden rule ni sheria ya kuwa treat watu positive the way ambavyo wewe ungependa ufanyiwe.

Baadaye dini ndio zikaja kukopi hizo values na kuziingiza kwenye vitabu vyao ili kupitisha agenda yao.
Kitu ambacho hujifikirishi ni kuwa uwepo wa Mungu hauhusishi ukristu na uislqmu pekee
Hiyo term morality msingi wake mkuu ni belief in super natural being
 
Back
Top Bottom